Benzi mpya? Kwa maana ya Mercedes Benz mpya? Kwa Tshs. 19,000,000/= tu? Dar Es Salaam?
Hii Mercedes sio mpya! I believe ni C-300 tena ya before 2006.Ewe mwana jamii forum unaweza jipatia Gar aina Ya Benzi mpyaaaa hapa na n shilling million 19.5 za kitanzania, gari ipo Dar na ninapatikana kwa namba hii 0718 9038 36
I don't have to.piga hyo namba hyo upate maelezo:
I don't have to.
This is JF where we dare talk openly, so why don't you put everything in the open so that facts/truth be known instead of entertaining backdoor deals?
I'm obsessed to cars, and I tell you what, that MBZ isn't new. It's a C class of between 2000-2006. Shuka bei tuongee biashara hapa jamvini na sio kwenye simu
Hiyo gari ni ya wizi imeibiwa PRETORIA mwezi wa 2, 2014 nilitaka kwenda kununua nikachukua chassis number nikaenda INTERPOL ku-cross check kwenye database yao wakaniambia wanaitafuta. So wanunuzi kuweni makini.

Hapo sasa sijui labda wajuvi watujuze.cc OLESAIDIMU
weka hapa VIN (chassis) number yake mkuu.
gari ndio hiyo wakuu sema kuna details ckupewa fresh coz kuna m2 nlmsaidia 2 kupost
ila mzigo uko vzuri na ukitaka kuongea biashara namba ya cm nmetoa