Mkuu cjapata mbona cheki kama namba uliyounga ni sahihi naweza kktumia hata screen capture ya bandle langu nililounga mwenyewe ndio nalotumia au ww nitumie screen capture ya uthihitisho wa kuunga namba hii 0764 876 888 nikulipe. au ni2mie namba yakoMkuu nimeshakuunga. Njoo pm tumalizane
Pm inagoma mkuuAsanteni Wadau Wangu. Hadi Sasa Hakuna Aliyekuja Na Lalamiko La Kutopewa Huduma Kama Alitoa Pesa. Nawakaribisha Tena Kwa Anaehitaji Njoo Pm Kwa buku Tatu Tuu Unapata 4GB ya Voda wiki Nzima.
Acha ubishi ww sio wote wanaopata 5gb kuna wengine wanapata 3gb(tena kwa siku tano) wengine 1.5gb......inategemea na zari la mtu.....hiyo offer inaitwa "Ya kwako Tu"
Bado ile kifurushi haijakata mkuu!??Njoo Kwa box mkuu
Mtandao gani??miaka yote napata gb 4 madakika ya kutosha kwa 2500
wacha utapeli
Sasa wewe ungependa kuweka namba yako ya simu hapa adharani?Hakuna biashara ifanyikayo pm kwani ni usiri km hiko halali.
MSAHADA MKUUU!!! jinsiya Ku Root huawei y3II lua L21 ina android 5.1 nime download king Root nika Root ikifikia kwenye asilimia 30% ina ji ristat nikitumia kingoroot ina gom naomba msahada mkuuuuNyang'au tu wewe tena mzembe uliyepitiliza
MSAHADA MKUUU!!! jinsiya Ku Root huawei y3II lua L21 ina android 5.1 nime download king Root nika Root ikifikia kwenye asilimia 30% ina ji ristat nikitumia kingoroot ina gom naomba msahada mkuuuuNyang'au tu wewe tena mzembe uliyepitiliza
mkuu ebu tuelekeze hiyo ya 2000 gb5...Msije mkadanganywa wakuu voda kuna offer nyingi tu ambazo si rasmi mfano unaweza pata GB 5 kwa mwezi mzima ukitoa sh 2000/= tu na offer nyenginezo pigeni hii namba hapa
*149*03# na hii ni kwa line zote si lazima uwe na voda ya chuo
naatakiwa kubofya ngapi ngapi....![]()
Ushahidi huu hapa SASA KAZI KWENU KULIWA AU KULA.