Pata 4GB Za Internet Wiki Nzima Kwa 3000/= Tu.

Anae hitaji aruke Pm Fastaaa Tufanye Uchawi Wa 4GB Fastaa. Tena Ukiwa Na Sim Card ya 4G arafu Simu Yako Ni ina Support 4G yaani Utaipenda Huduma Hakuna Mfano. Pita Kwa Pm Wewe Unaehitaji Huduma
 
hawa ni matapeli wakuu majuzi kati nilimlipa hiyo 3000tshs hadi leo sijaonaga hiyo huduma pazeni sauti zenu kwa haya matapeli
 
Huu uzi bado upo kumbe...jamaa atakuwa kachuma sana

Kuna kitu katika uchumi wanaita ignorance of price ambapo wameitaja kama sababu moja wapo utofautinaji wa bei kwa mnunuzi, wanasema sometimes mtu huuziwa kitu kwa bei kubwa kutokana na yeye kutojua bei vzr na ndilo naloliona hapa

Ndgu yetu anauza 4Gb kwa wiki/3000tsh wakat voda wao wanakupa 5Gb kwa 2000/mwezi

Kwa ufupi ni

Voda
Jiunge cha mwezi kila wiki utapata 20Gb kwa 8000tsh

Kwa huyu ndgu yetu
Jiunge cha wiki kila wiki utapata 16Gb kwa 12,000tsh

Price ignorance hupelekea mtu kupita njia anayoenda kukutana na tatizo analolikimbia(bei kubwa)
 
Unajiungaje Mkuu inawezekana mimi na Watu wote humu hatujui Hilo. Tutoe ushamba Tafadhari.
 
hawa ni matapeli wakuu majuzi kati nilimlipa hiyo 3000tshs hadi leo sijaonaga hiyo huduma pazeni sauti zenu kwa haya matapeli
Sijawahi lipwa kabla ya huduma. Ulini inbox Tar 3 -01-2018 na nlikwambia Unipe Namba Haukunipa, Ulitaka Nikuunge Kwenye Nini ??? Hujanipa hata sh.10 Unalete Unafiki Tu...Lete SMS ya Mpesa Hapa Unayosema Ulinitumia Juzi. Wewe peke ako unalalamika Mbona Hakuna Anaelalamika Au Wao ndio cjawaibia? Kajipange Upya.
 
Kama una voda fanya hivi. Piga *149*03# fuata maelekezo. Kwa tsh. 200. Unapata 5gb za data kwa mwezi mzima. Ukipata na mm nitumie hata buku
 
*149*01#
Ingia ya kwako tuu
Then chagu data/internet
Uwe unasoma Post Nzima Na Comments za Watu. Hilo Limesemwa Humu. Siyo Kila Mtu Anayo Hiyo Ofa.
 
Kama una voda fanya hivi. Piga *149*03# fuata maelekezo. Kwa tsh. 200. Unapata 5gb za data kwa mwezi mzima. Ukipata na mm nitumie hata buku
Tsh 200? Niwezeshee Na Mimi Maana Nahitaji hizo 5Gb Mkuu
 
Uwe unasoma Post Nzima Na Comments za Watu. Hilo Limesemwa Humu. Siyo Kila Mtu Anayo Hiyo Ofa.
sio kila anaekwambia umuunganiahe bhasi hana hyo huduma,wengine wanazo ila hawajui so hapa nililenga wenye nayo ila hawajuihawajui kama wana huduma hiyo,hata mimi sikuwa najua kama nina huduma hii so nikawa nahangaika na airtel ila baadae kuna mtu akanifahamisha juu ya hii offer maalum na ile ya university offer na nilipojalibu nilifanikiwa maana line ilikuwa na huduma zote ila sikuwa najua
 
Back
Top Bottom