Pata 4GB Za Internet Wiki Nzima Kwa 3000/= Tu.

Pata 4GB Za Internet Wiki Nzima Kwa 3000/= Tu.

Hizi offer zinatofautiana ndio maana niya kwako tuu na huwezi kumnunulia mwingine.
Kwa wale wanaoweka 500 as usual wanapata offer ya mpaka GB 5 ( siku 30) kwa Tshs 2000/=
Kwa wale wanaoweka vocha kuanzia 2000/= offer zao zinapungua.
Moja ya njia ya kupata hizi offer ni kusajili no mpya sio lazima uni ila usiweke vocha zaidi ya Tsh 500 siku zote na ukitaka kujiunga basi tumia mpesa kufanya malipo na hapo utapata GB 5 (siku 30) kwa TShs 2000/= zaidi ya hapo jamaa akuungie GB 4/ 3000
 
Well said mkuu. Imetosha
 
Asante mwana..
Nashukuru kwa imani yako pia mpaka nilipokulipa..

Kuna mtu anayeitwa Pawaga yule anayetengeneza laini za chuo leo kanitukana sana na kumuita mke wangu na dada yangu eti ni malaya, kisa baada ya kuniunganishia nikamwambia anivumilie kidogo nilipo siwezi kutoka so nisingeweza kumtumia ela kwa wakati ule..

Pawaga jifunze biashara kwa wenzio,ili uache ushamba matokeo yake umenifukuza mteja amabye kesho nilitaka nikupe dili la lain tatu tena za tigo..
 
Usijari mkuu. Nashukuru pia kwa feedback. I appreciate
 
Hata mimi naona siyo yakuiwazia, ila nina uhakika wewe umeiwaza kwa kina. Ukiwapata watu mia kwa siku kwa mwaka mmoja tu huhitaji kuwa kwe system yoyote duniani. Kwani utakuwa umekamilisha lengo kuu.
Dah ! Una mawazo ya ajabu sana kweli mwaka mzima niwe nafanya kazi hii tuu nawaibia watu mia kila Siku?? Mkuu nimenyanyua mikono kwa mawazo yako chanya yenye kulenga mbali...
 
sikuwahu kutumia internert ya voda ...nimejikuta offer yangu umeangukia pazuri ..ba GB 3.2 kwa Tsh 2000/= tu ..sasa nataka kwenda kuiupgrade kwenye 4G...je nitakuta Offer yangu ni hii aama.
 
Msije mkadanganywa wakuu voda kuna offer nyingi tu ambazo si rasmi mfano unaweza pata GB 5 kwa mwezi mzima ukitoa sh 2000/= tu na offer nyenginezo pigeni hii namba hapa
*149*03# na hii ni kwa line zote si lazima uwe na voda ya chuo
Kuna offer lakini kuna laini hazina mkuu,
 
849c7cd2f458163414eb8eef02b57864.jpg

Ushahidi huu hapa SASA KAZI KWENU KULIWA AU KULA.
Siyo laini zote zina offer nyingine hazina.
 
waliposema Tanzania ya viwanda inawezekana kumbe ni viwanda hivi vya kitapeli.kwanini voda wasimkamate huyu mtu
 
Msije mkadanganywa wakuu voda kuna offer nyingi tu ambazo si rasmi mfano unaweza pata GB 5 kwa mwezi mzima ukitoa sh 2000/= tu na offer nyenginezo pigeni hii namba hapa
*149*03# na hii ni kwa line zote si lazima uwe na voda ya chuo
Apo anatupiga buku
 
waliposema Tanzania ya viwanda inawezekana kumbe ni viwanda hivi vya kitapeli.kwanini voda wasimkamate huyu mtu
Mkuu Ukikosea Kutuma Pesa ukajikuta Umenunua Muda Wa Maongezi Wa 195,000/= Ni Dhambi Kuwaunga Watu Kifurushi?. Akili Yako Ni Mgando Sana Unafikili Mbali mno asee Sijajua Nini Kinakusukuma Kufikilia Hivyo. Any Way ni Mawazo Yako pia.

Uwe Unasoma Post Nzima Kabla Hauja Weka Maoni.
 
Kheri Ya Mwaka 18' !!! Mwanzo Wa Mwezi Ndio huu, Nina Airtime Yakutosha Voda Naunganisha 4GB Wiki Nzima Kwa Bei Chee 3000/= Tu. Sasa Wewe Ukiona buku Tatu ni Kubwa na Unahisi Utaibiwa Basi endelea Kutumia Buku Kwa Internet Kila Siku. Njoo Pm Kama Unahitaji. Sipo Kwenye System na Wala Sina Shida na Namba Yako (Business Only) .Changamka Kama UtahitajiView attachment 667120

Update
==========

Walionipa namba tiali nimewaunga isipokuwa wachache ILa hadi saa 5 ntakuwa nimeshawaunga wote.

Hakikisha una select sim card ya Voda iwe inatumia internet kisha washa data endelea kufurahia.

Malipo yangu utanipa once ukiona umeweza kutumia Internet (tafadhali kuwa muaminifu).

Pia naomba waliowezeshewa waje washuhudie ili tupunguze u- Tomaso.

Yoyote atakae hitaji anakaribishwa ..salio lipo lakutosha. Asanteni

Update
===========

Kuna maswali mengi Watu Wanauliza Ninapata Wapi Access Ya Kununua Bando

In short ni Kwamba Nilikosea Kununua Muda Wa Maongezi.

Now Imebaki 70 elfu. Kwa anaehitaji Aje tu Nimuunge.

Please njoo na namba tuu Usilete Mbwembwe Nyingine.
30d3583ccb35f44070f06c9e576cbe98.jpg
Wamekaa kizembe piga mpunga man
 
Back
Top Bottom