Tha real voice
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 898
- 5,317
Haya sasa nakupa na hii namba jaribu kwa voda yako mkuu utaleta mrejesho hii hapa
*149*03# kisha chagua ofa unayoitaka ila USISAHAU KULETA MREJESHO
Haya sasa nakupa na hii namba jaribu kwa voda yako mkuu utaleta mrejesho hii hapa
*149*03# kisha chagua ofa unayoitaka ila USISAHAU KULETA MREJESHO
Kumpa free ashuhudie sawa, lakini watakaofuata piga rungu ya kisogo wasirudi tenaNichek Pm mkuu Tena wewe nakupa offer for free uje ushuhudie humu.

Hakuna biashara ifanyikayo pm kwani ni usiri km hiko halali.Kheri Ya Mwaka 18' !!! Mwanzo Wa Mwezi Ndio huu, Nina Airtime Yakutosha Voda Naunganisha 4GB Wiki Nzima Kwa Bei Chee 3000/= Tu. Sasa Wewe Ukiona buku Tatu ni Kubwa na Unahisi Utaibiwa Basi endelea Kutumia Buku Kwa Internet Kila Siku. Njoo Pm Kama Unahitaji. Sipo Kwenye System na Wala Sina Shida na Namba Yako (Business Only) .Changamka Kama UtahitajiView attachment 667120
Mkuu wawezaniunganisha kwenye hiyo kituTapeli... Tushawezeshwa na mtu mmoja humu ndani universt ofa tena si intenet tu hadi dakika sms za kutosha majibi ya kutosha huo msaada kawafanyie tigo
Kama hutoweza kuiwazia buku 3, hata buku 30 hutoithamini ndugu.Mkuu hakuna mzembe humu. Ndio maana nikaelezea vizuri tuu kama Utahisi Buku Tatu Yako Itaibiwa Basi Kausha. Tatizo Waswahili Mnakosea Padogo Sana. Sometimes Ni Kheri Kujaribu Kuliko Kukata Tamaa. Elfu Tatu ni Kubwa Lakini Siyo ela Ya kuiwazia Kiasi hicho.
Niunge mm nikulipe 0764 876 888Kama hutoweza kuiwazia buku 3, hata buku 30 hutoithamini ndugu.
Mkuu hii line yako ya chuo au?mbona me hizi offer sizipati,unafanyaje fanyaje?![]()
Ushahidi huu hapa SASA KAZI KWENU KULIWA AU KULA.
Hesabu tu mkuu,watu wanacheza na akili zetu ili waishi mjini.nachojiuliza huu uzi una masaa zaidi ya matano na kuna ambao waliandika hapa kwamba wanamfuata jamaa Pm sasa muda huo wote hata mmoja kuleta feedback hamna?why!!!Hata mimi naona siyo yakuiwazia, ila nina uhakika wewe umeiwaza kwa kina. Ukiwapata watu mia kwa siku kwa mwaka mmoja tu huhitaji kuwa kwe system yoyote duniani. Kwani utakuwa umekamilisha lengo kuu.
Mkuu wala sio ya chuo mkuu ila kama jamaa walivyonirekebisha hapo juu kiwa hizi ofa ni kwa mtu na mtu sasa nadhani yakwangu ofa zake ni hizo hapoMkuu hii line yako ya chuo au?mbona me hizi offer sizipati,unafanyaje fanyaje?