Pata 4GB Za Internet Wiki Nzima Kwa 3000/= Tu.

Pata 4GB Za Internet Wiki Nzima Kwa 3000/= Tu.

Mkuu hakuna mzembe humu. Ndio maana nikaelezea vizuri tuu kama Utahisi Buku Tatu Yako Itaibiwa Basi Kausha. Tatizo Waswahili Mnakosea Padogo Sana. Sometimes Ni Kheri Kujaribu Kuliko Kukata Tamaa. Elfu Tatu ni Kubwa Lakini Siyo ela Ya kuiwazia Kiasi hicho.
Nyang'au tu wewe tena mzembe uliyepitiliza
 
Tapeli... Tushawezeshwa na mtu mmoja humu ndani universt ofa tena si intenet tu hadi dakika sms za kutosha majibi ya kutosha huo msaada kawafanyie tigo
Hata Huyo Aliekuwezesha Hauku Muamini Hadi Alipokuwezesha. Waachie wengine basi Na wao Wajaribu Wakiamini Watakupa Mrejesho
 
Hakuna Mjinga Hapa Boss. Karibu Pia na Siwezi Kukuita Mjinga. Unaweza Ukawa mteja wangu Mzuri Tuu
Ngoja nije pm unipe offer hyo Ikiwa sawa ntarudi jamvini kutoa ushuhuda

Ova
 
Yeyote aliyepata huduma hii jamani atuthibitishie hapa ili tumpe jamaa shavu na sisi.
 
Hii Huduma ndo inakuwa kila wiki unapata hizo 4gb au?
 
Hii sio univ offer ya voda..!!!?
GB 2 mchana GB 2 usiku!!
 
Kheri Ya Mwaka 18' !!! Mwanzo Wa Mwezi Ndio huu, Nina Airtime Yakutosha Voda Naunganisha 4GB Wiki Nzima Kwa Bei Chee 3000/= Tu. Sasa Wewe Ukiona buku Tatu ni Kubwa na Unahisi Utaibiwa Basi endelea Kutumia Buku Kwa Internet Kila Siku. Njoo Pm Kama Unahitaji. Sipo Kwenye System na Wala Sina Shida na Namba Yako (Business Only) .Changamka Kama UtahitajiView attachment 667120
2000 mkuu napata voda GB 5 kwa mwezi mzima hapo vipi mkuu buku na mb zangu 100 unapeleka wapi?
 
Msije mkadanganywa wakuu voda kuna offer nyingi tu ambazo si rasmi mfano unaweza pata GB 5 kwa mwezi mzima ukitoa sh 2000/= tu na offer nyenginezo pigeni hii namba hapa
*149*03# na hii ni kwa line zote si lazima uwe na voda ya chuo
 
849c7cd2f458163414eb8eef02b57864.jpg

Ushahidi huu hapa SASA KAZI KWENU KULIWA AU KULA.
 
Back
Top Bottom