Pata 4GB Za Internet Wiki Nzima Kwa 3000/= Tu.

Kwa 2000 napata gb3..siku tano voda. Kifurushi 'ya kwako tu'
 
Kheri Ya Mwaka 18' !!! Mwanzo Wa Mwezi Ndio huu, Nina Airtime Yakutosha Voda Naunganisha 4GB Wiki Nzima Kwa Bei Chee 3000/= Tu. Sasa Wewe Ukiona buku Tatu ni Kubwa na Unahisi Utaibiwa Basi endelea Kutumia Buku Kwa Internet Kila Siku. Njoo Pm Kama Unahitaji. Sipo Kwenye System na Wala Sina Shida na Namba Yako (Business Only) .Changamka Kama UtahitajiView attachment 667120

Update
==========

Walionipa namba tiali nimewaunga isipokuwa wachache ILa hadi saa 5 ntakuwa nimeshawaunga wote.

Hakikisha una select sim card ya Voda iwe inatumia internet kisha washa data endelea kufurahia.

Malipo yangu utanipa once ukiona umeweza kutumia Internet (tafadhali kuwa muaminifu).

Pia naomba waliowezeshewa waje washuhudie ili tupunguze u- Tomaso.

Yoyote atakae hitaji anakaribishwa ..salio lipo lakutosha. Asanteni

Update
===========

Kuna maswali mengi Watu Wanauliza Ninapata Wapi Access Ya Kununua Bando

In short ni Kwamba Nilikosea Kununua Muda Wa Maongezi.

Now Imebaki 70 elfu. Kwa anaehitaji Aje tu Nimuunge.

Please njoo na namba tuu Usilete Mbwembwe Nyingine.
30d3583ccb35f44070f06c9e576cbe98.jpg

=====

Update
========

Wakuu Nashukuru Kwa Waaminifu Wachache Kulipia Ninapo kuunga Bando. Imebakia Kidogo Njoo Tumalizie ILa Pay First Maana Wengine Nime Waunga Hawajanilipa Mpaka Dakika Hii Na Ukiwapigia Hawapatikani. Ni bora MTU Usiombe Huduma ILi Uwaachie Wengine.
4b0df37792b77b8ce37e99e6e4883e26.jpg

Appreciation:

.Shombe La Kisomali
.Miss Natafuta
.Somji na Wengine Wengiiiiiiiiii.....
Hawa Ndio Ninao Wakumbuka.

Hakuna bando la mwezi mkuuu la bei cheee tujiunge na sisi waa mikoani?
 
Msako bado unaendelea...tupumzisheni basi[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kheri Ya Mwaka 18' !!! Mwanzo Wa Mwezi Ndio huu, Nina Airtime Yakutosha Voda Naunganisha 4GB Wiki Nzima Kwa Bei Chee 3000/= Tu. Sasa Wewe Ukiona buku Tatu ni Kubwa na Unahisi Utaibiwa Basi endelea Kutumia Buku Kwa Internet Kila Siku. Njoo Pm Kama Unahitaji. Sipo Kwenye System na Wala Sina Shida na Namba Yako (Business Only) .Changamka Kama UtahitajiView attachment 667120

....
Ni airtime au bundle na kiasi gani kwa hiyo buku 3/wiki?
 
Msije kuwa mnataka number za voda baadae mnaingia mnavyojua wenyewe mnakomba pesa zilizomo, coz wiz wa mtandao unatisha kwa sasa
 
Kheri Ya Mwaka 18' !!! Mwanzo Wa Mwezi Ndio huu, Nina Airtime Yakutosha Voda Naunganisha 4GB Wiki Nzima Kwa Bei Chee 3000/= Tu. Sasa Wewe Ukiona buku Tatu ni Kubwa na Unahisi Utaibiwa Basi endelea Kutumia Buku Kwa Internet Kila Siku. Njoo Pm Kama Unahitaji. Sipo Kwenye System na Wala Sina Shida na Namba Yako (Business Only) .Changamka Kama UtahitajiView attachment 667120

Update
==========

Walionipa namba tiali nimewaunga isipokuwa wachache ILa hadi saa 5 ntakuwa nimeshawaunga wote.

Hakikisha una select sim card ya Voda iwe inatumia internet kisha washa data endelea kufurahia.

Malipo yangu utanipa once ukiona umeweza kutumia Internet (tafadhali kuwa muaminifu).

Pia naomba waliowezeshewa waje washuhudie ili tupunguze u- Tomaso.

Yoyote atakae hitaji anakaribishwa ..salio lipo lakutosha. Asanteni

Update
===========

Kuna maswali mengi Watu Wanauliza Ninapata Wapi Access Ya Kununua Bando

In short ni Kwamba Nilikosea Kununua Muda Wa Maongezi.

Now Imebaki 70 elfu. Kwa anaehitaji Aje tu Nimuunge.

Please njoo na namba tuu Usilete Mbwembwe Nyingine.
30d3583ccb35f44070f06c9e576cbe98.jpg

=====

Update
========

Wakuu Nashukuru Kwa Waaminifu Wachache Kulipia Ninapo kuunga Bando. Imebakia Kidogo Njoo Tumalizie ILa Pay First Maana Wengine Nime Waunga Hawajanilipa Mpaka Dakika Hii Na Ukiwapigia Hawapatikani. Ni bora MTU Usiombe Huduma ILi Uwaachie Wengine.
4b0df37792b77b8ce37e99e6e4883e26.jpg

Appreciation:

.Shombe La Kisomali
.Miss Natafuta
.Somji na Wengine Wengiiiiiiiiii.....
Hawa Ndio Ninao Wakumbuka.
Mkuu upo kimya..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wapige wapige....wabishi hawa hadi wakipigwa ndio wapate akili nilitoaga tenda ya ku unlock kode za sim card offer free mkanikimbia sasa nendeni mpogwe muwe wazima kiakili wapige kaka wapige.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Yani We Jamaa Inabidi Nicheke Tu. Haya Njoo Nawewe Nikupige Basi
 
Yeyote aliyepata huduma hii jamani atuthibitishie hapa ili tumpe jamaa shavu na sisi.
Huduma nimepata zaidi ya Mara kumi jamaa yuko vizuri sio kitoto mi nilikua MTU wakwanza kufanyiw hudum bahat mbay nikaw barn nikashindw kutoa marejesho
 
Nakukubali Sana Jamaa angu.
 
Back
Top Bottom