Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,029
- 52,507
niunganishe nije nikupigie debeNichek Pm mkuu Tena wewe nakupa offer for free uje ushuhudie humu.
niunganishe nije nikupigie debeNichek Pm mkuu Tena wewe nakupa offer for free uje ushuhudie humu.
mtandao gani mkuu?miaka yote napata gb 4 madakika ya kutosha kwa 2500
wacha utapeli
We jamaaaa mbona unaweza pata GB 5 kwa mwezi mzima kwa 2000/= tu ?Hapana mkuu. Hii unatumia muda wote hakuna mchana wala usiku
vodamtandao gani mkuu?
Hapana ni kwa wote na ndo maaana nikaweka na namna ya kujiunga narudia tena hii hapa namna ya kujiunga *149*03# kwa ofa kubwa kubwa kwa bei rahisi haya KAAAAAZI KWENU WAKUU KWA WANAOTAKA YA UNI HII HAPAMkuu siyo wote wenye uwezo Wa kupata hizo GB. Kama wewe unauwezo ngoja sisi tugawane hiki kidogo
Mkuu mpaka nikuwekee na ushahidi au ?Acha uongo wa saa nane hii jua kali.
Hiyo haipo kwa Mtandao wa Voda. Labda mitandano mingine.
Haya sasa nakupa na hii namba jaribu kwa voda yako mkuu utaleta mrejesho hii hapaAcha uongo wa saa nane hii jua kali.
Hiyo haipo kwa Mtandao wa Voda. Labda mitandano mingine.
Hivi mkuu kama 5 GB zingepatikana kizembe hivyo kuna MTU angelalamikia vyuma kukaza???? Hyo ni ofa yako( just for you offer). Zinatofautiana kwa wateja.Hapana ni kwa wote na ndo maaana nikaweka na namna ya kujiunga narudia tena hii hapa namna ya kujiunga *149*03# kwa ofa kubwa kubwa kwa bei rahisi haya KAAAAAZI KWENU WAKUU KWA WANAOTAKA YA UNI HII HAPA
*149*42# ila kwa hii ya uni lazima uwe na line za uni za voda kuipata nenda voda shop yoyote utatozwa 1000/= tu na namba yako itasajiliwa kama ya uni ....
Mkuu nimejaribu kwa line zaidi ya moja ya vodaHivi mkuu kama 5 GB zingepatikana kizembe hivyo kuna MTU angelalamikia vyuma kukaza???? Hyo ni ofa yako( just for you offer). Zinatofautiana kwa wateja.
Mimi bnafsi napata 1gb kwa sikuv15 Kwa sh 1000 kupitia hyo ofa. Wengne wanapata mb 200 tu.
Haiwezi kuwa rahisi kiasi hicho
Sio line zote wanapata hivyo mfano mimi napata hiviMkuu nimejaribu kwa line zaidi ya moja ya voda
Hapana ni kwa wote na ndo maaana nikaweka na namna ya kujiunga narudia tena hii hapa namna ya kujiunga *149*03# kwa ofa kubwa kubwa kwa bei rahisi haya KAAAAAZI KWENU WAKUU KWA WANAOTAKA YA UNI HII HAPA
*149*42# ila kwa hii ya uni lazima uwe na line za uni za voda kuipata nenda voda shop yoyote utatozwa 1000/= tu na namba yako itasajiliwa kama ya uni ....
Mkuu siyo rahisi kuchakachua. Kama umesoma vizuri post yangu utaelewa nnachomaanisha. Nini Airtime yakutosha so cna pakuipeleka zaidi ya kuuunga vifurushi tuuMtandao wa voda umekuwa rahisi kuchakachuliwa...shida nn au mishahara midogo?