Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,617
- 6,771
Anaonekana kiwango chake cha kupanga maneno ya kujenga hoja zenye kuendana na muktadha husika bado kipo chini sana.
Anahitaji msaada wa kupewa hiyo hekima kabla hajaendelea kufanya anachotamani kukifanya.