Pastor awavulisha nguo waumini

Pastor awavulisha nguo waumini

Mbakaji tu huyo, akitoka hapo atamfuata mwanamke aliyemvutia hisia amwmabie njoo tuwe na maombi binafsi
Nimeikuta huko Facebook pastor amewaambia waumini wake wave nguo ili roho mtakatifu aingie kwa urahisi kwenye miili yao

Link hi hapo chini

Cjajua Ni nchi gani View attachment 992741View attachment 992742View attachment 992744View attachment 992745View attachment 992746View attachment 992748

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wachunagaji wa kilokole wengine ni wenda wazimu na waumini wao pia ni wenda wazimu! manabii wa uongo basi nao waumini watakua wauongo,... bibilia inasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.. basi kama huna maarifa wewe ni mwendawazimu tu.. hamna namna
 
Daahh hahaa ... hapo itakuwa anawatafuna mpaka ndugu wa tumbo 1 anawa changanya tu kama zege....leo huyu kesho huyu ... dahhh pastor wee " ... nikuwa mkubwa nataka kuwa kama wewe "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeikuta huko Facebook pastor amewaambia waumini wake wave nguo ili roho mtakatifu aingie kwa urahisi kwenye miili yao

Link hi hapo chini

Cjajua Ni nchi gani View attachment 992741View attachment 992742View attachment 992744View attachment 992745View attachment 992746View attachment 992748

Sent using Jamii Forums mobile app
Waumini wote tena bado vijana halafu hawana shanga,basi si wa nchi hii.
Hizo picha kakokotoa mtandaoni kuja kuzi dump humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Haya Makanisa na hawa kondoo na wachungaji zao ni laana tupu. Mengine yamejaa wachungaji mashoga. Mengine ndiyo hayo tena.

Inasikitisha sana. Na kila tunapowajuza hawa ndugu zetu kwa Adam kuwa hakuna kitu huko makanisani ni ushetani tu. Hawaelewi.
 
Back
Top Bottom