Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,974
- 8,116
Lord have mercy..
kuna rafiki mmoja kutoka Australia aliwahi kuniambia kwa tasfri isiyo rasmi..waafrika as long as wanaamini katika uchawi na giza akitokea mtu na akawaaminisha uwepo wa nuru basi watafanya lolote kupata nuru hiyo..akamaliza kwa kusema having a bilble in Africa is like holding half billion cheque in your account..
Poleni sana Vitunguu swaumu.