Pastor awavulisha nguo waumini

Pastor awavulisha nguo waumini

Itakua Zambia au Malawi. Nchi zenye wajinga kupindukia
 
Wanawake wazuri kuangalia wakiwa na nguo otherwise unaweza toka nduki huyu pastor ana research nn ?
 
Kwa iyo watoto na baba zao walikuwa wanaonana live. Bila chenga
 
Lord have mercy..

kuna rafiki mmoja kutoka Australia aliwahi kuniambia kwa tasfri isiyo rasmi..waafrika as long as wanaamini katika uchawi na giza akitokea mtu na akawaaminisha uwepo wa nuru basi watafanya lolote kupata nuru hiyo..akamaliza kwa kusema having a bilble in Africa is like holding half billion cheque in your account..

Poleni sana Vitunguu swaumu.
Mzee wa vitunguu swaumu upoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom