Pastor agoma kutembea kwa miguu akidai ardhi ni ya dhambi

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,472
21,953
Mchungaji John Mwangi wa Kanisa la Ufufuo huko Githurai, Kenya ametoa msimamo wake kuwa yeye, kama mtumishi wa Mungu hawezi kutembea kwa mguu kwenye ardhi ya dhambi hivyo atakuwa anabebwa daima na wafuasi wake kila ajapo kanisani kufanya ibada mpaka pale watakapo mnunulia gari Prado VXL 3500 cc

Watu wanapoa kwa kushindwa kuwabaini watumishi wa kweli na wale watumishi wa matapeli.

Chanzo cha habari ni One Kenya TV.
1676297158512.jpg
Screenshot_20230213-171540.jpg
 
Mchungaji John Mwangi wa Kanisa la Ufufuo huko Githurai, Kenya ametoa msimamo wake kuwa yeye, kama mtumishi wa Mungu hawezi kutembea kwa mguu kwenye ardhi ya dhambi hivyo atakuwa anabebwa daima na wafuasi wake kila ajapo kanisani kufanya ibada mpaka pale watakapo mnunulia gari Prado VXL 3500 cc

Watu wanapoa kwa kushindwa kuwabaini watumishi wa kweli na wale watumishi wa matapeli.

Chanzo cha habari ni One Kenya TV. View attachment 2516225View attachment 2516226

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Haki nkmechekaaaa
 
Sijui kwanini wa Kuristo bado hawa jagundua kwamba dini yao imejaa matepeli
 
Mchungaji John Mwangi wa Kanisa la Ufufuo huko Githurai, Kenya ametoa msimamo wake kuwa yeye, kama mtumishi wa Mungu hawezi kutembea kwa mguu kwenye ardhi ya dhambi hivyo atakuwa anabebwa daima na wafuasi wake kila ajapo kanisani kufanya ibada mpaka pale watakapo mnunulia gari Prado VXL 3500 cc

Watu wanapoa kwa kushindwa kuwabaini watumishi wa kweli na wale watumishi wa matapeli.

Chanzo cha habari ni One Kenya TV. View attachment 2516225View attachment 2516226
Usikute kenya ni channel ya vichekesho mbinguni
 
Back
Top Bottom