Past katika mahusiano?

285359.jpg
...lol, Mwj1 wantakia nini mwana wa mwenzio, unataka nije na CRB? hiyo hapo...ha ha ha....

well, well, well,...ama katika jambo lililo gumu ni kutaka Ex- wako asiwe tena karibu na ndugu/rafiki zako. Ki ukweli, na hata dini zinatuongoza tuachane kwa heri... hii itatusaidia sana hata kwenye mashirikiano na Ex's pale patapotokea dharura, mfano kuuguliwa, kifo, harusi, nk ambapo kwa namna moja ama nyingine ex atahitajika awepo.
So long as an Ex atabakia an ex, hakuna kokoro kabisa... vurugu ni pale an Ex anapokuwa na sauti kwenye current mahusiano, ...huo unakuwa sio uhusiano tena..bali ni utatu!

Kumbe sredi yako ndio ilikuwa na mueleko huu? aaahh, samahani kwa kuchemka na ma inner circle yangu.
Sijui wachangiaji wengine wanamtazamo gani...
 
Binafsi Mwanajamiione namuona hana tatizo,anachotaka yeye ni watu waliopo kwenye mahusiano kuwa wazi,Past itakuumiza vp kama umeamua kuwa huru na huyu wa sasa?Mweleze past ilikuwa hivi mfano tulikuwa tukienda beach tangu tulipojuana mwaka......,nimelala naye mara nyingi ila sikumbuki idadi ila ana udhaifu sehemu hii....... na anaujuzi sehemu hi.......... kuwa muwazi kwa kila utakaloulizwa ikiwezekana mpeleke hata mahali mlipokuwa mkitembea,labda beach,hotel,safari nk.

Hahahahah AZIMIO duh haoana bana ah hizi details nyingine ni unnecessary bana.utafikiri unamringishia au unafanya comparison!! Mi nafikiri yale yanayowezakuwa na nafasi ya kuinterfere mahusiano yenu ya sasa ndio ya kusema but not hizo maneno ingine.

Hiyo ya kusimulia udhaifu wake na umahiri wake ah...........wengine tuna mioyo midogo bana hatukawii kufikiri unatulinganisha ilihali tu vidole kiganjani!!...............Na hapo pa kumpeleka sehemu mlizokuwa mwaenda na Ex mh..ukiambiwa wavutia hisia utajibuje??
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
tatizo sio past
tatizo ni relationship ambayo wewe ulifikiri ni past ya mwenzio
kumbe duh....bado inaendelea.......

baadhi ya watu hawavunji past zao....wanaziachia zififie tu,halafu after a while
zinarudi kwa nguvu........which can be very painfull..

some women hawana power ya kusema its over kwa wapenzi wa zamani....

akikutwa hata sokoni,anaburuzwa kwenda kukumbushia......
wewe uko home unajiuliza,kachelewa wapi??????......

Aksante The Boss umenisaidia kuweka sawa.....hapo kwenye past ibaki iwe past hapo!! nachukulia issue ya Ex- ambaye kwa bahati mbaya kuna mazingira ambayo lazima yatawakutanisha mf. kwenye arusi au shughuli yoyote ya kifamilia...how to keep a distance imekuwa ni ngumu kidogo hasa kwa akina dada namna ya kujua jinsi ya kuhandle hidden hisia anazozipata current partner pale ambapo Ex anakuwa around na hasa anapoonekana kukubalika na members wengi wa familia!! Kwa familia za kikwetu mara nyingi ni rahisi kwa mwanaume ku'muassure' current partner wake mbele ya Ex- atakuja akurushie kijibusu flani au akupitishie kimkono akamate kiuno kidogo ili mradi akurudishe kwenye 'mood' na kukujengea kujiamini kuwa sasa ni wakati wako but kwa kina dada mh......urushe kiss mbele ya wazazi! inakuwa ngumu kidogo sana sana utaishia kumnong'oneza kijikitu ili mradi tu akuone umempa attention. Lol naona natoka nje ya mada

Nadhani kwa issue kama hii ni vema mkakaa chini na kuamua limits za huyo Ex ili iwe rahisi kwa mwenzi kuobserve kama hizo limits zinazingatiwa au la

Sasa ili Ex- awe kweli Ex na ujiridhishe kuwa probably it is the 'true past' inabidi iwe ni Ex wa muda gani? mwaka, au hata kama aliachana naye last three months/two ili uamini kuwa ni past?
 
Mie sijawahi uliza na kama akiuliza mhhhhhhhh naona nitamwambia tu wewe ndo wa kwanza maana past yangu ni past kweli.......
 
285359.jpg
...lol, Mwj1 wantakia nini mwana wa mwenzio, unataka nije na CRB? hiyo hapo...ha ha ha....

well, well, well,...ama katika jambo lililo gumu ni kutaka Ex- wako asiwe tena karibu na ndugu/rafiki zako. Ki ukweli, na hata dini zinatuongoza tuachane kwa heri... hii itatusaidia sana hata kwenye mashirikiano na Ex's pale patapotokea dharura, mfano kuuguliwa, kifo, harusi, nk ambapo kwa namna moja ama nyingine ex atahitajika awepo.
So long as an Ex atabakia an ex, hakuna kokoro kabisa... vurugu ni pale an Ex anapokuwa na sauti kwenye current mahusiano, ...huo unakuwa sio uhusiano tena..bali ni utatu!

Kumbe sredi yako ndio ilikuwa na mueleko huu? aaahh, samahani kwa kuchemka na ma inner circle yangu.
Sijui wachangiaji wengine wanamtazamo gani...

Hahahahah Mbu CRB imeniacha hoi!! Nsamehe bana sikudhamiria lol

Hapa ni kweli sana sasa kwa hii haiwezekani usiseme juu ya Ex na mahusiano yake na relatives wako.

Hilo la kumiss direction ya thread bana nadhani nami nimelichangia kwa kiasi kikubwa ............ si mtunzi bora lol
 
Aksante sana Elyer nakubaliana nawe 110% .....unaposema hutaki kuifahamu hiyo past........ina maanisha hutaki kuyajua ya zamani kwa kishwahili..........lakini hiyo zamani inaanzia wapi? Samahani ninapenda kutoa mfano kwa jambazi na changudoa. Kama mpenzi ulonaye sasa hivi zamani alikuwa jambazi...............ili uitupie kwenye kundi la past......inatakiwa iwe kuanzia muda gani? Kama alikuwa jambazi maiaka miwili ilopita, miezi sita au? au kuchunguza hilo nalo ni kudeal na past?? mwe
Ya zamani hayahusiani na ya leo,hata kama ni ya namna gani,ianze leo mpya,kama alikua jambazi hiyo si jana?Jana isikuamulie leo!Ishi leo,kwakua ni leo!
 
...Sasa ili Ex- awe kweli Ex na ujiridhishe kuwa probably it is the 'true past' inabidi iwe ni Ex wa muda gani? mwaka, au hata kama aliachana naye last three months/two ili uamini kuwa ni past?

Mwj1, an Ex is an Ex bana, haijalishi muda ingawa Ex wa zaidi ya 6months mimi namhesabia ndiye ex hasa,
maana kama ni grievances pia zishaisha makali...3 months bado kuna kaji room ka consideration ya Baby Come Back
huo ni kwa mtazamo wangu...

Wewe Mwj1 nini mtazamo wako kwa hili?
 
mie kwa kweli cpendagu past, ndio mwanzo wa kudanganyana, ni wachache sana wanakuwaga wa ukweli, japo niliulizwa past yangu but mie ckupenda kujua ya kwake, tulipoanzia hapo hapo kikikwama mbeleni bac hakikupangwa!

nyamayao ni kweli kuwa si vema but huwa kuna past ambazo ni wazi hatuna budi kuzisema..mfano yule heartbreaker wako alokuacha pasipo sababu......kama hukuwa umeieleza kwa Mr afu sasa ndo anakupigia misimu na kukutumia mipicha Mr azione ndo uanze oh alikuwa utaeleweka kweli?
 
Kamanda MTM, nakuona unatoa "LIKES" tu...hebu changia bana, nahitaji kujua mchango wako katika hili,
tumetoka mbali mazee...lol...
 
Mwj1, an Ex is an Ex bana, haijalishi muda ingawa Ex wa zaidi ya 6months mimi namhesabia ndiye ex hasa,
maana kama ni grievances pia zishaisha makali...3 months bado kuna kaji room ka consideration ya Baby Come Back
huo ni kwa mtazamo wangu...

Wewe Mwj1 nini mtazamo wako kwa hili?

Sasa Mbu hapa ulipoelezea hapa....ndio maudhui mazima ya thread hii....HOW PAST IS THE PAST.
Kwako wewe shorter time ina walakini kwani anything can happen na kama wameachana recently ukuna uwezekano mkubwa kuwa umekubaliwa wewe ili kuziba pengo bichi.....tamaa bado yawaka kwa penzi la yule so uwezekano wa Ex kubeep na kupigiwa ni mkubwa sana....ndio maana nikauliza how past is the past.

Mtazamo wangu mie: Inategemea na issue yenyewe....kama Ex niliachana naye kwa kuwa kulikuwa na ireconciliable reasons then I do not mind kama mmeachana jana au mwaka jana! But kama sababu ni hizi za kawaida tuzijuazo eti mapenzi yamepungua, amecheat au alikwenda kwa mwingine then kweli nitahitaji kuweka kigezo cha muda mrefu ili hii iwe past kwangu. The same kwa tabiia kama alikuwa dadapoa/shoga LOL au alikuwa na affair/crushes na wake/waume za watu.....for me to jiaminisha kuwa s/he has really gotten over that behaviour muda unamata bana!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ya zamani hayahusiani na ya leo,hata kama ni ya namna gani,ianze leo mpya,kama alikua jambazi hiyo si jana?Jana isikuamulie leo!Ishi leo,kwakua ni leo!

Ok Elye una uhakika hakuna ya zamani yenye uwezo wa kuwa ya leo? sawa ya zamani ni zamani but zamani zatofautiana, zamani ya mwaka juzi si sawa na zamani ya wiki ilopita au?
 
Sasa Mbu hapa ulipoelezea hapa....ndio maudhui mazima ya thread hii....HOW PAST IS THE PAST.
Kwako wewe shorter time ina walakini kwani anything can happen na kama wameachana recently ukuna uwezekano mkubwa kuwa umekubaliwa wewe ili kuziba pengo bichi.....tamaa bado yawaka kwa penzi la yule so uwezekano wa Ex kubeep na kupigiwa ni mkubwa sana....ndio maana nikauliza how past is the past.

Mtazamo wangu mie: Inategemea na issue yenyewe....kama Ex niliachana naye kwa kuwa kulikuwa na ireconciliable reasons then I do not mind kama mmeachana jana au mwaka jana! But kama sababu ni hizi za kawaida tuzijuazo eti mapenzi yamepungua, amecheat au alikwenda kwa mwingine then kweli nitahitaji kuweka kigezo cha muda mrefu ili hii iwe past kwangu. The same kwa tabiia kama alikuwa dadapoa/shoga LOL au alikuwa na affair/crushes na wake/waume za watu.....for me to jiaminisha kuwa s/he has really gotten over that behaviour muda unamata bana!

lol....nawewe hebu punguza hizi cross exams bana...mwe!
Irreconcilable differences,
...what a wonderful word!
 
lol....nawewe hebu punguza hizi cross exams bana...mwe!
Irreconcilable differences,
...what a wonderful word!

A wonderful word in deed..........ambalo mie bado linanishangaza na kunifanya nishangazwe na ule usemi wa Love conquers all........au hiyo All haijumuishi na hizo irreconcilable factors ??
 
Ok Elye una uhakika hakuna ya zamani yenye uwezo wa kuwa ya leo? sawa ya zamani ni zamani but zamani zatofautiana, zamani ya mwaka juzi si sawa na zamani ya wiki ilopita au?
Katika suala la mahusiano kutafuta na kuchimbua ya zamani ni wivu,na wivu ni udhaifu wa kijinga sana!Kama unataka uhusiano wako uwe mzuri epukana na matatizo haya!
 
Katika suala la mahusiano kutafuta na kuchimbua ya zamani ni wivu,na wivu ni udhaifu wa kijinga sana!Kama unataka uhusiano wako uwe mzuri epukana na matatizo haya!
Ningeshukuru sana kijana kama ningejuwa umri wako, hivi wewe huna hata ya kujuwa kwamba mwanamke unaeanza mahusiano ameshazaa na wanaume watatu tofauti? au huna sababu ya kujuwa labda aliolewa na kuachwa & why she was divorce? my god watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Yaani wewe unachojari ili mradi unakatiwa huno vizuri basiii!!! kama pimbi hutaki hata kujuwa zamani wapi!!!???
 
mie kwa kweli cpendagu past, ndio mwanzo wa kudanganyana, ni wachache sana wanakuwaga wa ukweli, japo niliulizwa past yangu but mie ckupenda kujua ya kwake, tulipoanzia hapo hapo kikikwama mbeleni bac hakikupangwa!

Waswahili wanasema ukimchunguza sana kuku huwezi kumla kwa nini ufekenyue mambo ambayo yalisha pita?
Ndo mwanzo wa kupataga mabp
 
Ningeshukuru sana kijana kama ningejuwa umri wako, hivi wewe huna hata ya kujuwa kwamba mwanamke unaeanza mahusiano ameshazaa na wanaume watatu tofauti? au huna sababu ya kujuwa labda aliolewa na kuachwa & why she was divorce? my god watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Yaani wewe unachojari ili mradi unakatiwa huno vizuri basiii!!! kama pimbi hutaki hata kujuwa zamani wapi!!!???
Nina umri wa miaka 3....Sihitaji kujua ya jana kwani huyu kwangu ni mpya sio wa jana kama jana alikuwa mchafu leo ni msafi,tatizo la kutaka kujua ya zamani ni kutokumwamini!Alipoamua kuwa na wewe alimaanisha ameacha ya zamani sasa humwamini ndo maana unachimbua yasiyo kuhusu,kama humwamini ni bora ukamwacha,ni ujinga kuwa na mtu usiemwamini!
 
Dah huu mstari wa mwisho huu.......hata kama umekujagundua kuwa it was an edited version wakati mshafunga pingu za maisha??

Nway watu tumetofautiana na nafikiri wewe ni wa aina yake. Nakupongeza but najaribu tu kufikiria siku ukikutana na ukweli unaoumiza na kutia aibu au litakalokufanya pengine uwe na mashaka juu ya mahusiano yenu (Mfano swala la kutoa ujauzito.........akwambie alishawahitoa nyingi tu) hutokimbilia kumwambia mkacheck kama atawezazaa tena incase mnaoana? LOL Ni mfano tu jamani sisemi kina dada mkiwa na mashaka na uzazi wenu msiseme!

nope!unaju mpaka nauliza nakuwa najua huenda kukawa na kitu kama hicho so ninakuwa na sababu ya kuuliza(kama nilivyosema pale mwanzo).nimewahi kuwepo hapo dadangu,najua nachokisema.pia,hii ni kwa kile tu nitakachotaka kujua.siwezi vumilia kudanganywa wakati ningeweza ambiwa ukweli at my own risk!!kabla ya kuingia ndani zaidi ya mahusiano mimi huweka taratibu zitakazoniongoza kwenye hayo mahusiano na hili ni mojawapo,huna sababu ya kunidanganya nikitaka kujua kitu,haijalishi ni kibaya kiasi gani(mimi sio mtakatifu kihivyo pia).so,wakati una-edit your past na kuniambia unakuwa unajua madhara yake(and am the man of my word!!)so caculate opportunity cost!
 
Back
Top Bottom