Past katika mahusiano?

Nina umri wa miaka 3....Sihitaji kujua ya jana kwani huyu kwangu ni mpya sio wa jana kama jana alikuwa mchafu leo ni msafi,tatizo la kutaka kujua ya zamani ni kutokumwamini!Alipoamua kuwa na wewe alimaanisha ameacha ya zamani sasa humwamini ndo maana unachimbua yasiyo kuhusu,kama humwamini ni bora ukamwacha,ni ujinga kuwa na mtu usiemwamini!

well kwangu sio ishu ya kuaminiana au vipi,it's rather kufahamiana zaidi haswa kama ishu ya ndoa inahusika!imagine jirani,nesi au daktari (mbaya zaidi anakuwa rafiki yako)anamfahamu wife wako zaidi ya unavyomfahamu wewe?!!Mungu aliumba Adam na Eva wakiwa uchi kabisa,manake kila nyumba ina utupu wake,na lazima kusiwepo siri baina yetu na kudanganyana(hapa nitampenda na kumheshimu zaidi).huu ndio msingi wa kusitiriana na kuheshimiana kama familia.sitaki ku-hang out na washikaji afu nikawa nachangia katika maongezi ambayo kumbe yanamhusu mpenzi wangu bila kujua na jamaa wananing'ong'a napochangia kwa bidii! lol....
 
A wonderful word in deed..........ambalo mie bado linanishangaza na kunifanya nishangazwe na ule usemi wa Love conquers all........au hiyo All haijumuishi na hizo irreconcilable factors ??[/QUOTE]

ni kweli kwamba tunapenda kwa moyo,lakini pia tunaishi (mapenzi yakiwa sehemu ya maisha)kwa vichwa!!maana yake wakati tunaingia kwenye mapenzi kwa mioyo yetu yote,tunapaswa pia tuingie na vichwa vikiwa safi!ndo maana biblia inaagiza wanaume ...."ISHINI NA WAKE ZENU KWA AKILI!"
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom