kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 6,528
- 12,622
wakuu kwema?
samahani naomba kuulizia,nimepata kazi mpya mahali flani na mwajiri wangu mpya kaniagiza niandae passport yangu ya kusafiria ili after two weeks nitaelekea Nairobi kwa ajili ya training.na mimi hapa nilipo sina mkwanja wa kupata passport mpya kwa sasa.
so nilikua naomba kujua nikipata Ile passport ya temporary permit, pale uwanja wa ndege wataniruhusu kweli kuingia Kenya au ntazuiwa?