Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Naomba kufahamishwa utaratibu wa kupata passport kwasasa

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Ingia Kwenye tovuti ya uhamiaji, Utajaza form utaambatanisha vitu vinavyohitajika baada ya kuiprint.

Utalipia malipo ya awali, Utafika uhamiaji kukabidhi na utalipia gharama. Utaambiwa siku ya kurudi kupiga picha.
 
Back
Top Bottom