Bajeti inamata zaidi ....kuliko maoni ya watu....passo kwa maisha ya dsm...ni poa sana...kama mtu hana uwezo wa discovery afanyeje sasa!! Nunua passo....rahisisha maisha!!!!
Mbona wa mikoani mnatutenga? Au mnadhani Passo hazipo huku, kisa eti haziwezi kupanda milima. Kwa taarifa yenu, hata sisi tunazo. Na mkileta ujinga tutazipiga rangi ya pinki kabisa, ili mjue we mean business
Hivi Passo ya kutoka japan inaweza kuzidi milioni 2 Tsh kweli maana naona zimejaa barabarani kuliko hata bajaj. nini hasa sababu wandugu? au kuna sehemu watu wanacheza kamari ukishiNDWA ndo unapewa PASSO? au nyongeza ukinunua gari kubwa?
labda nikuulize wewe unaishi karne gan, nijuavyo mm wapo wabongo ambao wanapiga pasi ndefu chakura. sembuse smartphone!? na hizo mb8 cjui una-surf kwa muda gani?
labda nikuulize wewe unaishi karne gan, nijuavyo mm wapo wabongo ambao wanapiga pasi ndefu chakura. sembuse smartphone!? na hizo mb8 cjui una-surf kwa muda gani?
Hao huwezi kuwakuta humu jf,kama nakumbuka vizuri post yako ilikuwa inazungumzia watu kuingia jf mpaka wafike maofisini,sidhani kama hao ndio unaowazungumzia.
Hao huwezi kuwakuta humu jf,kama nakumbuka vizuri post yako ilikuwa inazungumzia watu kuingia jf mpaka wafike maofisini,sidhani kama hao ndio unaowazungumzia.