Mkuu wangu wa kazi anamiliki Passo yake swaaaaaafi na ukitaka mkosane we pitapita karibu na Passo yake utasikia mwanangu unataka univunjie vioo? Hahahahaaaa
Jamani
Leo mie nimemuona jamaa anaendesha, tena jamaa kasuka, mbele kuna mwanamke afu nyuma watoto. Nikakumbuka hii nyuzi nikacheka sana.
Ila tusiwacheke hapo ndio mfuko wao umefikia.
Mimi sina hata baiskeli
Khaa!! Kama Passo tu hivi. Siku nikiingia barabarani na Toyota Coms si nitapigwa mawe mimi. Acheni ujinga. Tunanunua magari kutokana na bajeti/mahitaji yetu. Mnajua bajeti zetu au mahitaji yetu bana??/