Pasco wa JF aje Hapa!

Pasco wa JF aje Hapa!

Nasikia ile mvua ya kutengeneza ya mkwe wa Sioi inamwaga kwa wingi Arusha hivi sasa.
Naona mahesabu yamekataa, walitaka ipige usiku ili wachakachue...... Mungu akaipiga stop!

Waliosahau kuwa Pesa haina ujanja mbele ya Mungu.
Wao wameanza na Pesa, wengine wakaanza na Mungu!
Sauti ya watu, Sauti ya Mungu.
Naudediketi ushindi huu kwa Watanzania!
Huu ni mlango wakuelekea 2015!
Haturudi tena Misri, tushavuka bahari ya SHAM tayari!
 
Wacha kabisa PJ, nna furaha isiyo kifani....

Jasho langu la kutembea jumamosi toka Tengeru mpaka kwa Ngulelo kwa mguu halijapotea bure ati..
Hongera sana dadangu SL!
Jasho lako limelipwa sasa kwa 200%
Nitakutafuta nikupongeze Ki-JF zaidi!
 
Alipogundua amedondokea pua akili ikamrudia akaanza kushangilia Pipozzzz unafki kitu kibaya sa hizi yupo monduli wanakunywa wiski na hii mvua/baridi atakuja hapa anatetemeka mikono lol!!!!!
 
Rev robinson alisema atajinyonga cdm wakichukua tena ilikuwa jumamosi inawezekana kashatimiza kama hatakuwa anatokea kwa bibi kiroboto wenyewe wanajimaliza faster
 
Back
Top Bottom