GodfreyTajiri
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 1,006
- 712
Wana JF
Nimeona kama bandiko langu wachache wananshindwa kunielewa na kuanza kuuliza maswali ya kijinga .Mimi wakati naandika hili sikujua na sikutegemea kama Pasco anakula mlungula ila kwa sababu rafikia yangu alitaka habari yake iende kwenye jamii kuhusiana na matatizo ya majanja yta moto Tanzania , basi akaambiwa anaweza pia kuwaita waandishi au aende habari na maelezo akaseme aliyo nayo .Alienda akaambiwa saa moja ni shiling 60,000 na pia lazima ajiandae kwa bahasha kama anataka habari yake itoke kwenye chombo cha habari maana bila hivyo hawataandika watamsikiliza na kukaa kimya .Ndiyo nikaja kuleta hoja hapa na kuomba Pasco asaidie maana ni mwandishi wa habari .
Sasa naomba tujikite kwenye hoja na tuache uvivu wa kusoma na kuanza kuhoji kijinga kijinga .Wachache wanafanya kila kitu siasa no hii ni serious .Kwa ninij bahasha kwanza ndipo habari iende hewani ?
Pasco tafadhali saidia maana ulisha sema unagawa bahasaha na wazipenda .
Mkuu Lunyungu, afadhali umetoa ufafanuzi huu kwa sababu jinsi mjadala ulivyokuwa unaendelea ilionekana kuwa Pasco ni mla rushwa. Nadhani sasa watu wataanza kuchangia kulingana na madaWana JF
Nimeona kama bandiko langu wachache wananshindwa kunielewa na kuanza kuuliza maswali ya kijinga .Mimi wakati naandika hili sikujua na sikutegemea kama Pasco anakula mlungula ila kwa sababu rafikia yangu alitaka habari yake iende kwenye jamii kuhusiana na matatizo ya majanja yta moto Tanzania , basi akaambiwa anaweza pia kuwaita waandishi au aende habari na maelezo akaseme aliyo nayo .Alienda akaambiwa saa moja ni shiling 60,000 na pia lazima ajiandae kwa bahasha kama anataka habari yake itoke kwenye chombo cha habari maana bila hivyo hawataandika watamsikiliza na kukaa kimya .Ndiyo nikaja kuleta hoja hapa na kuomba Pasco asaidie maana ni mwandishi wa habari .
Sasa naomba tujikite kwenye hoja na tuache uvivu wa kusoma na kuanza kuhoji kijinga kijinga .Wachache wanafanya kila kitu siasa no hii ni serious .Kwa ninij bahasha kwanza ndipo habari iende hewani ?
Pasco tafadhali saidia maana ulisha sema unagawa bahasaha na wazipenda .
Hata mimi nashangaa, kahongwa mtu mzima suti na yule mwarabu itakuwa Pasco mwakilishi wa Lowasa hapa jamvini?
Mkuu Lunyungu, afadhali umetoa ufafanuzi huu kwa sababu jinsi mjadala ulivyokuwa unaendelea ilionekana kuwa Pasco ni mla rushwa. Nadhani sasa watu wataanza kuchangia kulingana na mada
katika watu wanaojipendekeza kwa lowasa walionishangaza ni pasco. Huyu jamaa angekuwa ni demu basi nisingekawia kusema ni nyumba ndogo ya lowasa. Jamaa alituletea habari ya kupanda hata juu ya kaburi ili apate picha ya kupiga jk akishikana mkono na Dr.slaa, haitoshi akaleta taarifa kuwa mtoto wa lowasa wa kike kafiwa na baba mkwe wake hivyo tumpe pole lowassa kafiwa na mzazi mwenziwe. jirekebishe mkuu, acha fikra za kitumwa juu ya mtu,usiwe mtumwa wa fikra kwa ajili ya mwingie. Kuwa mtu huru kifikra pascoooooooooo!
Hivi ni Pasco yule yule ninayenjua au mwingine?????? Kweli njaa ni sumu kwa maendeleo ya nchi yetu, rushwa, wizi, ufisadi hivi Watanzania utatufikisha wapi????????Mkuu Pasco , sasa msiba umepita na Mh.Regia apumzike kwa amani .Naona sasa ni wakati muafaka unipe jibu juu ya wewe na wenzako kupenda bahasha za khaki ili muweze kuandika habari kwa watanzania kujua nini kinaendelea .Karibu tuanzie hapa kwanza maana kwangu nimeshangaa kwamba unahongwa ili uandike habari hata zile ambazo ni za manufaa kwa jamii lakini lazima bahasha ya khaki .
Mkuu Lunyungu, ni kweli msiba umekwisha, najipanga kukujibu ipasavyo na nitakujibu tuu ila kwa sasa nashindwa kwa sababu kwenye thread hii watu wamechanya mambo. Wamenichanganya mimi Pasco wa JF na Pascal Mayalla mwenyewe halisi hivyo nitakapo jibu inaweza kusumbua. Pasco mimi ni mwandishi wa habari wa Jf na ninaripoti matukio mengi tuu kwa ajili ya jf tuu na siandikii gazeti lolote ila pia Pasco mimi hizo bahasha nazigawa kwa waandishi wengine wa jf.Mkuu Pasco , sasa msiba umepita na Mh.Regia apumzike kwa amani .Naona sasa ni wakati muafaka unipe jibu juu ya wewe na wenzako kupenda bahasha za khaki ili muweze kuandika habari kwa watanzania kujua nini kinaendelea .Karibu tuanzie hapa kwanza maana kwangu nimeshangaa kwamba unahongwa ili uandike habari hata zile ambazo ni za manufaa kwa jamii lakini lazima bahasha ya khaki .
myhem, Pasco wa jf ni Pasco wa Jf, na Pascal Mayalla ni Pascal Mayalla, wote ni waandishi mmoja Pasco ni mwandishi wa jf na Pascal Mayalla ni mwandishi wa kiukweli.Hivi huyo Pasco ndo yule Mayala? Kama ndio yeye basi nadhani atakuwa ni mmoja wa waandishi wanafki wakubwa hapa TZ.Mnakumbuka ule mdahalo wa Tundu Lisu na Habibu Mnyaa pale Movenpick alisemaje? Kabla ya kumuuliza swali Tundu Lisu ali-declare interest kuwa yeye si mshabiki wala hana kadi ya chama chochote cha siasa.Lakini sasa hivi amejipambanua kuwa yeye ni mmoja wa wapiga debe wakubwa wa Lowasa.Ina maana EL hana chama? Inatia mashaka sana juu ya credility za waandishi wa namna hii kwani wengi wao ni wachumia tumbo tu.
Inaonyesha kuwa Pasco ameamua ku-gamble kwa reside upande wa Lowasa ili akifanikiwa basi naye apate fadhila kama alizopata SAlva Rweyemamu.Pasco bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi kwani unaweza kuishia kuliwa na simba.
Pasco ndo yule yule wa PPR?, kama ndiye ni mnafiki sana....................
nduu/mamaya, Pasco wa jf ni Pasco wa Jf, na Pascal Mayalla wa PPR ni Pascal Mayalla wa PPR, wote ni waandishi mmoja Pasco ni mwandishi wa jf na Pascal Mayalla ni mwandishi wa kiukweli aliyeajiriwa na PPR.Kwani huyu pasco wa jf ndiye pasco mayala wa ppr? can't be serious man! Kama ndiye atakuwa anadhalilisha hata elimu yake ya sheria.
Mkuu Bulesi, Pasco wa jf ni Pasco wa Jf, na Pascal Mayalla wa PPR ni Pascal Mayalla wa PPR, wote ni waandishi mmoja Pasco ni mwandishi wa jf na Pascal Mayalla ni mwandishi wa kiukweli aliyeajiriwa na PPR.Kuna wanahabari ambao nawadharau kwasababu ya tabia yao ya kujipendekeza kwa viongozi nao ni Pascal Mayalla [Pasco] na Ephraim Kibonde. Tabia hii yote ni kwasababu ya kutojiamini katika kila kitu wanachofanya!! Ningemuingiza na Serukamba wa kigoma katika kundi hili ingawa yeye sio mwanahabari!!
Mkuu....Mkiwa na waandishi kama Pasco 20 basi tasnia ya uandishi wa habari itakufa maana licha ya kusoma lakini ameufanya weledi wake isifanye kazi kwa vibahasha uchwara. Mimi alipojipambua eti yeye yuko upande wa Lowasa nilishangaa sana na kuona si bure.
ha ha ha haaaa, wanacheksha. Umejuaje kama Pasco ana ID zaidi ya moja kama huna uzoefu wa kuwa na ID nyingi?
Huyu Fred na Peter Katulanda anayendikia Uhuru sio mtu mmoja? kama ni mtu mmoja basi fikiria upya hiki ulichoandika.Katika waandishi wote nina mfagilia Fred Katulanda wa Mwananchi kutoka Mwanza,huyu hafungamani na upande wowote,anaandika anachokiamini,kukiona na akisikia lazima afuatilie kwanza kabla ya kukiandika, hawa kina PASCO ni wale mkono kinywani kwanza ndo habari iandikwe,kwa zile habari za kijijini wasiokuwa nazo kwake ni mwiko.Ukitaka kujua habari zake nyingi humu niza wale wenye nazo tu.
Hivi Pasco ni mwandishi wa JF? hilo nilikuwa silijui.Mkuu Bulesi, Pasco wa jf ni Pasco wa Jf, na Pascal Mayalla wa PPR ni Pascal Mayalla wa PPR, wote ni waandishi mmoja Pasco ni mwandishi wa jf na Pascal Mayalla ni mwandishi wa kiukweli aliyeajiriwa na PPR.
Hapa jf tunazosheria zetu tulizojiwekea, hairuhusiwi kumfananisha membe yoyote humu na mtu mwingine hata kama unamfahamua kuwa ndiye yeye, hili ni kosa liitwalo 'Name Calling' na adhabu yake ni ban!.