Jamani siku hizi hatuna waandishi wa habari, bali tuna waandishi kwaajili ya matumbo yao.
Mkuu Lunyungu, haimhitaji Pasco kujibu kuwa hili halina maslahi ya taifa hata kidogo. Ni tamaa ya hao waandishi kutaka kushibisha matumbo yao tuMkuu Pasco shalom
Najua nikisema nawe hapa utawaambia na wenzako .Hivi hii tabia ya kupewa bahasha ndiyo habari ziandikwe kwenye magazeti na TV zenu ina manufaa gani kwa Taifa ? Nasema haya nikiwa n ushahidi nitarudi baadaye kuona ushauri wako ili niendelee kumwaga mtama kwenye kuku .Ila tuna kwazika na hizi rushwa za bahasha kisa habari ziende kwa jamii utadhani hamlipwi .
Heshima yako mkuu hebu saidia.
Mkuu Lunyungu kwanza pole kwa hii, yote usemayo ni kweli mimi kama mwanahabari, nimeisha vipokea sana hivyo vibahasha na mpaka hapa nilipofika sasa mimi ndio navigawa hivyo vibahasha.Mkuu Pasco shalom
Najua nikisema nawe hapa utawaambia na wenzako .Hivi hii tabia ya kupewa bahasha ndiyo habari ziandikwe kwenye magazeti na TV zenu ina manufaa gani kwa Taifa ? Nasema haya nikiwa n ushahidi nitarudi baadaye kuona ushauri wako ili niendelee kumwaga mtama kwenye kuku .Ila tuna kwazika na hizi rushwa za bahasha kisa habari ziende kwa jamii utadhani hamlipwi .
Heshima yako mkuu hebu saidia.
Mkuu Pasco shalom

Kwani Pasco ni nani? ni yupi huyu?
Jamani siku hizi hatuna waandishi wa habari, bali tuna waandishi kwaajili ya matumbo yao.
kumbe pasco ni mwandishi!