Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,708
- 5,711
Jaduong tofautisha Cyber bullying na kujadili hotuba ya rais. Mbona mara nyingi tu imekuwa inajadiliwa.Alipohutubia mei mosi mwaka jana watu walijadili na kuhoji mambo mengi. Tanzania sio nchi ya kidikteta.Si ndiyo itaonekana umeibully hotuba ya mhesimiwa sana ?
Odhis *