Pascal Mayalla: Waandishi wa habari ni waoga nimewaalika tujadili hotuba ya Rais Magufuli wamepiga chenga na kuingia mitini

Mjadala wa leo katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star tv mada ni Hotuba ya Rais aliyoitoa wakati wa anawaapisha wateule wake.

Pascal Mayalla anasema aliwaalika waandishi wa habari katika mjadala lakini wote wameingia mitini.

Pascal anadai waandishi wetu ni wajanja wajanja kwenye mitandao tu lakini inapofika kwenye mijadala huru ni kunguru na waoga kupitiliza, wanafunga plasta midomoni.

Pascal anasema kwa mfumo wa katiba ya Tanzania Rais ndio mwenye maamuzi ya mwisho na tamko lake ni sheria tofauti na nchi kama Marekani ndio maana anateua Jaji mkuu na Katibu wa bunge.

Pascal anasisitiza kuwa Rais Magufuli ni mtu mwenye maamuzi sahihi yaani yeye ni master diplomat ndio maana Rais Trump wa USA sasa anaiga kutoka Tanzania ikiwemo kufungulia makanisa.

Kadhalika majirani zetu wamejifunza kutoka kwetu na sasa wamefungua mipaka tena kwa kufuata masharti yetu kwamba madereva wetu watapimwa hapa nchini.

Pascal anasema Ummy Mwalimu ni waziri wa kupigiwa mfano kwa sababu madaktari bingwa watano waliokuwa wasaidizi akiwemo Naibu waziri wa afya wametumbuliwa lakini yeye pekee ambaye siyo daktari kitaaluma ndio amebakia.

Pascal anasema waziri Ummy anafuata zaidi uhalisia kuliko matakwa ya kitaaluma ndio maana amekuwa akieleweka zaidi kwa Rais Magufuli.

Mjadala umemalizika, shukrani Dotto Bulendu kwa kazi nzuri ya kuongoza kipindi.

Kipindi kiko hewani, karibu.

Maendeleo hayana vyama!
Waaandishi wengi ni hamna kitu, kelele mitandaoni tu, LIVE hamna kitu. Wanaobisha, rejea kikao charais na waandishi wa habari awali kabisa! Waliuliza maswali pumba!
 
Mjadala wa leo katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star tv mada ni Hotuba ya Rais aliyoitoa wakati wa anawaapisha wateule wake.

Pascal Mayalla anasema aliwaalika waandishi wa habari katika mjadala lakini wote wameingia mitini.

Pascal anadai waandishi wetu ni wajanja wajanja kwenye mitandao tu lakini inapofika kwenye mijadala huru ni kunguru na waoga kupitiliza, wanafunga plasta midomoni.

Pascal anasema kwa mfumo wa katiba ya Tanzania Rais ndio mwenye maamuzi ya mwisho na tamko lake ni sheria tofauti na nchi kama Marekani ndio maana anateua Jaji mkuu na Katibu wa bunge.

Pascal anasisitiza kuwa Rais Magufuli ni mtu mwenye maamuzi sahihi yaani yeye ni master diplomat ndio maana Rais Trump wa USA sasa anaiga kutoka Tanzania ikiwemo kufungulia makanisa.

Kadhalika majirani zetu wamejifunza kutoka kwetu na sasa wamefungua mipaka tena kwa kufuata masharti yetu kwamba madereva wetu watapimwa hapa nchini.

Pascal anasema Ummy Mwalimu ni waziri wa kupigiwa mfano kwa sababu madaktari bingwa watano waliokuwa wasaidizi akiwemo Naibu waziri wa afya wametumbuliwa lakini yeye pekee ambaye siyo daktari kitaaluma ndio amebakia.

Pascal anasema waziri Ummy anafuata zaidi uhalisia kuliko matakwa ya kitaaluma ndio maana amekuwa akieleweka zaidi kwa Rais Magufuli.

Mjadala umemalizika, shukrani Dotto Bulendu kwa kazi nzuri ya kuongoza kipindi.

Kipindi kiko hewani, karibu.

Maendeleo hayana vyama!

Mwambie Waandishi wa Habari wengi wa sasa Tanzania siyo Wasukuma Kikabila kama Yeye hivyo wanaogopa Matatizo baadae.
 
Ahahahaha wamelala Mbele wametokomea hata hapa kwenye mitandao uandishi wao na elimu yao inatia mashaka mwandishi ana andika hulu badala ya huru ,nzuli,namuhona =namuona!
 
Jaduong tofautisha Cyber bullying na kujadili hotuba ya rais. Mbona mara nyingi tu imekuwa inajadiliwa.Alipohutubia mei mosi mwaka jana watu walijadili na kuhoji mambo mengi. Tanzania sio nchi ya kidikteta.
Jiulize ni kwanini wamekacha !!. Hakuna anayependa shida za kubambikwa. Na hasa unapojadili kwa mawazo huru na kutakiwa kusifu bila kukosoa chochote. Haya ndiyo maisha tuliochagua .

Odhis *
 
Hao uwezo wao wa kupambanua mambo ni mdogo. Tanzania ya leo haina waandishi kama mzee Makwaia wa Kuhenga na Paskali Mayalla. Jaduong wanataka kuripoti tu na sio kufanya analysis
 
Mjadala wa leo katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star tv mada ni Hotuba ya Rais aliyoitoa wakati wa anawaapisha wateule wake.

Pascal Mayalla anasema aliwaalika waandishi wa habari katika mjadala lakini wote wameingia mitini.

Pascal anadai waandishi wetu ni wajanja wajanja kwenye mitandao tu lakini inapofika kwenye mijadala huru ni kunguru na waoga kupitiliza, wanafunga plasta midomoni.

Pascal anasema kwa mfumo wa katiba ya Tanzania Rais ndio mwenye maamuzi ya mwisho na tamko lake ni sheria tofauti na nchi kama Marekani ndio maana anateua Jaji mkuu na Katibu wa bunge.

Pascal anasisitiza kuwa Rais Magufuli ni mtu mwenye maamuzi sahihi yaani yeye ni master diplomat ndio maana Rais Trump wa USA sasa anaiga kutoka Tanzania ikiwemo kufungulia makanisa.

Kadhalika majirani zetu wamejifunza kutoka kwetu na sasa wamefungua mipaka tena kwa kufuata masharti yetu kwamba madereva wetu watapimwa hapa nchini.

Pascal anasema Ummy Mwalimu ni waziri wa kupigiwa mfano kwa sababu madaktari bingwa watano waliokuwa wasaidizi akiwemo Naibu waziri wa afya wametumbuliwa lakini yeye pekee ambaye siyo daktari kitaaluma ndio amebakia.

Pascal anasema waziri Ummy anafuata zaidi uhalisia kuliko matakwa ya kitaaluma ndio maana amekuwa akieleweka zaidi kwa Rais Magufuli.

Mjadala umemalizika, shukrani Dotto Bulendu kwa kazi nzuri ya kuongoza kipindi.

Kipindi kiko hewani, karibu.

Maendeleo hayana vyama!
Kama ukicheka picha tuu una kamatwa!! Je ukisema?? Hakuna freedom of expression siku hizi. Acha wakimbie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paskali, si kila muandishi wa habari ana competence kubwa kuhimili maswali na hapo kwa hapo hasa kwenye TV au Radio na husasan lipokuwa ni suala la kuwa na fikra huru na mbadala kushauri utawala hasa kumgusa moja kwa moja JPM.

Kuna wakati Dotto awe anatafuta walaji/wasomaji wa habari; hapa anaweza ku-balance nini wasomaji wanafikiri kwa jicho la uhalisia kitaa.

Kuna wakati Fr. Dr. Kitima akiwa VC wa SAUT alikuwa mmoja wa wachambuzi wazuri sana wa mambo. Kwa sasa huenda nafasi yake ya Ukatibu wa TEC ikawa na mgongano wa maslahi.

Ila kama Paskali unatafuta watu, fanya juhudi za makusudi kupata watu ambao sio lazima wawe waandishi.
Mijadala ya DW jumamosi mchana saa 7 huwa inanoga, maana sio mara zote waendesha mjadala wana-rely kwa waandishi.
 
Wabongo bhana, watoto shule mwl Wao akiwa anaulemavu, akiri Yao hushika zaidi muonekano wa mwl Wao kuliko kile anachofundisha, na wewe uko vilevile ka mtoto wa chekechea

Pumbavu wewe
Umerudia kusoma ulichoandika wewe na kulinganisha alichoandika huyo uliyemnukuu!?
Nashukuru Mungu sana kwa Mh. JPM kusitisha mbio za mwenge,maana nina uhakika vizazi vya hovyo kama wewe vitokanavyo na mbio za mwenge havitakuwepo msimu huu.
 
Kwani kukosoa ni kosa? Tumia lugha ya staha kujadili kama ina mapungufu na kama haina sema ukweli. Tofautisha Cyber bullying na kukosoa. Ndio maana mnaambiwa muwe makini na matumizinya mitandao.
Hebu tupe mfano wa aliyemkosoa JPM na aka survive.
Mkuu alisha sema haambiwi kitu na mtu yeyote.
Best kukaa kimya tu.
 
Pascal anasisitiza kuwa Rais Magufuli ni mtu mwenye maamuzi sahihi yaani yeye ni master diplomat ndio maana Rais Trump wa USA sasa anaiga kutoka Tanzania ikiwemo kufungulia makanisa.

Waje kujadili nini na conclusion umeshatoa, wasukuma sijui mnakwama wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom