Pascal Mayalla: Waandishi wa habari ni waoga nimewaalika tujadili hotuba ya Rais Magufuli wamepiga chenga na kuingia mitini

Paschal angejua Trump hata Magufuli hamjui angenyamaza kimya.

Trump ukiondoa South Africa hawa marais wa nchi ndogo ndogo anawajua kwa magroup tu...nilishangaa kusikia MATAGA mmoja anasema Marekani inaionea wivu Tanzania. Labda wanatuonea wivu kwa umaskini wetu na upumbavu wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anajua sana ila amechombeza tu.
 
Pole sana Mayala umechelewa sana kujua hilo. Sio waandishi wa habari tuu, wako professionals wengi tuu hawawezi kuzumgumzia mambo yoyote yanayo muhusu Mkulu.

Bila kujua kutosema au kutotoa michango kuhusu masuala ya jamii tunashindwa kumsaidia. Muda utasema , Tutabadilika tuu.
 
Pole sana Mayala umechelewa sana kujua hilo. Sio waandishi wa habari tuu, wako professionals wengi tuu hawawezi kuzumgumzia mambo yoyote yanayo muhusu Mkulu.

Bila kujua kutosema au kutotoa michango kuhusu masuala ya jamii tunashindwa kumsaidia. Muda utasema , Tutabadilika tuu.
Gerlad umeongea suala la msingi sana.
Watu wengi wakiwamo wabunge ns waandishi ni waoga na wana hofu.

Bashe alikuwa mmoja wa wabunge wachache ambao walijua kusema ukweli ambao wana CCM wenzake mjengoni waliogopa.

Ukweli ni kuwa Mkulu hatafanikiwa akizungukwa na MATAGA na Praise team pekee.

Lazima wawepo watu ambao watamwambia tukifanya hivi we'll all win.
Contrasting sio uasi, ni ubinadamu. Mungu mwenyewe kuna wakati alimwambia Isaya, "come and let us reason together"
Reasoning is the essence of living. The day we stop reasoning we die.

Na kwa hili, ninaku-prove, ni waandishi wangapi wana ujasiri wa kuchangia JF kwa ujasiri na majina yao, including wabunge. Kama wapo ni wachache. Wengi wanatumia fake ID. Why, they are simply coward. Kama kwenye kuandika na una nafasi ya kuwa na rejea unaogopa, kwenye TV ndio basi tena.

Pascal, next time niandae ntakupiga tafu. Nikiwa Mwanza, nimefanya vipindi kadhaa na Ivone Kamuntu kabla hajaondoka Star TV, Mzee Samadu (Mola apumzike kwa amani mzee wetu); Leonard Mapuli nimefanya nae vipindi kadhaa.
Uoga ni dhambi na waoga hata mbinguni hawataingia.

Tutaisaidia Tanzania kwa fikra zenye kujenga hasa wakati huu ambapo tuna watu wengi wapo wapo kwenye decision making machinery.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom