Pascal Mayalla: Waandishi wa habari ni waoga nimewaalika tujadili hotuba ya Rais Magufuli wamepiga chenga na kuingia mitini

Pascal anasisitiza kuwa Rais Magufuli ni mtu mwenye maamuzi sahihi yaani yeye ni master diplomat ndio maana Rais Trump wa USA sasa anaiga kutoka Tanzania ikiwemo kufungulia makanisa.

Waje kujadili nini na conclusion umeshatoa, wasukuma sijui mnakwama wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwandishi yeyote serious aende aka debate na mayalla atakuwa hajipendi

Mayalla atamchongea kwa mamlaka indirectly yamkute ya kabendera

Mayalla anapiga jaramba ale uteuzi umri ushaenda around 50 something na Hana pension

Huyu mtu wa kumuepuka Kama ukoma kwa Sasa

Very snitching

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjadala wa leo katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star tv mada ni Hotuba ya Rais aliyoitoa wakati wa anawaapisha wateule wake.

Pascal Mayalla anasema aliwaalika waandishi wa habari katika mjadala lakini wote wameingia mitini.

Pascal anadai waandishi wetu ni wajanja wajanja kwenye mitandao tu lakini inapofika kwenye mijadala huru ni kunguru na waoga kupitiliza, wanafunga plasta midomoni.

Pascal anasema kwa mfumo wa katiba ya Tanzania Rais ndio mwenye maamuzi ya mwisho na tamko lake ni sheria tofauti na nchi kama Marekani ndio maana anateua Jaji mkuu na Katibu wa bunge.

Pascal anasisitiza kuwa Rais Magufuli ni mtu mwenye maamuzi sahihi yaani yeye ni master diplomat ndio maana Rais Trump wa USA sasa anaiga kutoka Tanzania ikiwemo kufungulia makanisa.

Kadhalika majirani zetu wamejifunza kutoka kwetu na sasa wamefungua mipaka tena kwa kufuata masharti yetu kwamba madereva wetu watapimwa hapa nchini.

Pascal anasema Ummy Mwalimu ni waziri wa kupigiwa mfano kwa sababu madaktari bingwa watano waliokuwa wasaidizi akiwemo Naibu waziri wa afya wametumbuliwa lakini yeye pekee ambaye siyo daktari kitaaluma ndio amebakia.

Pascal anasema waziri Ummy anafuata zaidi uhalisia kuliko matakwa ya kitaaluma ndio maana amekuwa akieleweka zaidi kwa Rais Magufuli.

Mjadala umemalizika, shukrani Dotto Bulendu kwa kazi nzuri ya kuongoza kipindi.

Kipindi kiko hewani, karibu.

Maendeleo hayana vyama!
Mjadala ulikua mzuri sana nilicheka sana pale wageni wa mwanza walipokua wanajaribu kupindisha kile alichokua akikielezea Pascal kutokujua kumbe wanamuunga mkono,
 
Pascal anasema kwa mfumo wa katiba ya Tanzania Rais ndio mwenye maamuzi ya mwisho na tamko lake ni sheria tofauti na nchi kama Marekani ndio maana anateua Jaji mkuu na Katibu wa bunge.

Katika kauli zote, hii naichukia sana. Hii sio nchi ya kifalme, rais wa nchi hii ana nguvu lakini sio za matamko kugeuka sheria
 
Haki ya mungu hii nchi sijui kujipendekeza kunatupeleka wapi
Mjadala wa leo katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star tv mada ni Hotuba ya Rais aliyoitoa wakati wa anawaapisha wateule wake.

Pascal Mayalla anasema aliwaalika waandishi wa habari katika mjadala lakini wote wameingia mitini.

Pascal anadai waandishi wetu ni wajanja wajanja kwenye mitandao tu lakini inapofika kwenye mijadala huru ni kunguru na waoga kupitiliza, wanafunga plasta midomoni.

Pascal anasema kwa mfumo wa katiba ya Tanzania Rais ndio mwenye maamuzi ya mwisho na tamko lake ni sheria tofauti na nchi kama Marekani ndio maana anateua Jaji mkuu na Katibu wa bunge.

Pascal anasisitiza kuwa Rais Magufuli ni mtu mwenye maamuzi sahihi yaani yeye ni master diplomat ndio maana Rais Trump wa USA sasa anaiga kutoka Tanzania ikiwemo kufungulia makanisa.

Kadhalika majirani zetu wamejifunza kutoka kwetu na sasa wamefungua mipaka tena kwa kufuata masharti yetu kwamba madereva wetu watapimwa hapa nchini.

Pascal anasema Ummy Mwalimu ni waziri wa kupigiwa mfano kwa sababu madaktari bingwa watano waliokuwa wasaidizi akiwemo Naibu waziri wa afya wametumbuliwa lakini yeye pekee ambaye siyo daktari kitaaluma ndio amebakia.

Pascal anasema waziri Ummy anafuata zaidi uhalisia kuliko matakwa ya kitaaluma ndio maana amekuwa akieleweka zaidi kwa Rais Magufuli.

Mjadala umemalizika, shukrani Dotto Bulendu kwa kazi nzuri ya kuongoza kipindi.

Kipindi kiko hewani, karibu.

Maendeleo hayana vyama!

In God we Trust
 
Mbona Pascal alielezea vizuri mfumo wa parliamentary system na presidential system.
Presidential system haina maana ya Rais mfalme, maana yake ni Rais anayechaguliwa moja kwa moja na wananchi na hatokani na bunge. Anakuwa na nguvu zake, lakini kwenye constitutional republic kama yetu, mfumo wa kutengeneza sheria unajulikana, yeye ni sehemu tu ya kukamilisha sheria lakini sio kuzitamka tu majukwaani.

Labda tunashindwa kutofautisha kati ya sheria na maagizo mbalimbali. Sheria sio maagizo, na ndio maana maagizo huwa yanabadilika. Ni hatari sana kurudia rudia hii kauli.

Rais hayuko juu ya sheria, na wala hatungi sheria, hata akitoa maagizo lazima yawe ndani ya mipaka ya sheria.
 
Na

Nakusikitikia rudi usome upya presidential na parliamentary system halafu uwaze katika mazingira ya kawaida utapata jibu
 
Mjadala wa leo katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star tv mada ni Hotuba ya Rais aliyoitoa wakati wa anawaapisha wateule wake.

Pascal Mayalla anasema aliwaalika waandishi wa habari katika mjadala lakini wote wameingia mitini.

Pascal anadai waandishi wetu ni wajanja wajanja kwenye mitandao tu lakini inapofika kwenye mijadala huru ni kunguru na waoga kupitiliza, wanafunga plasta midomoni.

Pascal anasema kwa mfumo wa katiba ya Tanzania Rais ndio mwenye maamuzi ya mwisho na tamko lake ni sheria tofauti na nchi kama Marekani ndio maana anateua Jaji mkuu na Katibu wa bunge.

Pascal anasisitiza kuwa Rais Magufuli ni mtu mwenye maamuzi sahihi yaani yeye ni master diplomat ndio maana Rais Trump wa USA sasa anaiga kutoka Tanzania ikiwemo kufungulia makanisa.

Kadhalika majirani zetu wamejifunza kutoka kwetu na sasa wamefungua mipaka tena kwa kufuata masharti yetu kwamba madereva wetu watapimwa hapa nchini.

Pascal anasema Ummy Mwalimu ni waziri wa kupigiwa mfano kwa sababu madaktari bingwa watano waliokuwa wasaidizi akiwemo Naibu waziri wa afya wametumbuliwa lakini yeye pekee ambaye siyo daktari kitaaluma ndio amebakia.

Pascal anasema waziri Ummy anafuata zaidi uhalisia kuliko matakwa ya kitaaluma ndio maana amekuwa akieleweka zaidi kwa Rais Magufuli.

Mjadala umemalizika, shukrani Dotto Bulendu kwa kazi nzuri ya kuongoza kipindi.

Kipindi kiko hewani, karibu.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa akili nyepesi mlijua lockdown zitakuwa milele, akili zetu kwanini hukwama kama CD yenye scratch! Kila jambo hufanywa kwa muda wake.
 
Paschal angejua Trump hata Magufuli hamjui angenyamaza kimya.

Trump ukiondoa South Africa hawa marais wa nchi ndogo ndogo anawajua kwa magroup tu...nilishangaa kusikia MATAGA mmoja anasema Marekani inaionea wivu Tanzania. Labda wanatuonea wivu kwa umaskini wetu na upumbavu wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom