Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,614
- 64,470
ni kweli kabisa, Mshana hayupo Chama TawalaNa Mshana ana uwezo wa kushawishi. Pia si MWANA CCM.
Ni yeye me nimemuona physicallyUna unakika gani kuwa hio ni picha yake?.
Wote wapo vizuri, ila Mshana Jr" namkubali zaidi maana ni mwepesi ktk kudadavua mada zake vizuri haswa za ulozi japo kipindi hiki manabii wote Covid-19 imewalaza chali sijui mafuta yameisha ?.
Mshana Jr" 9/10
Pascal 3/10
Sent using Jamii Forums mobile app







Unaliwa jicho kenge wewe
Unaliwa jicho kenge wewe