Pascal Mayalla V/S MshanaJr nani zaidi?

malizia na kumlamba mtu kin yeo!
 
Mpambano hauko sawa unawalinganisha watu wawili katika nyanja tofauti .kila mmoja atasifia kulingana na mapenzi yake kwenye jamii.kama sio mtu wa siasa huwezi kumjia paskalli Mayala..

Vivyo hivyo kama Ni mtu wa siasa pekee utakua humfahamu vizuri mshana Jr ni nani huku..kiufupi mayala sio mtu wa kawaida ambao wanaweza kumuelewa lazima IQ iwe juu tofauti na hapo utaishia kucomment kwa mahaba ya kinazi.paskali sio jf tu Bali ni wale manguli wa uhandishi wa habari Tanzania.tatizo la paskal tabia za kisukuma zinamsumbua ndio maana anaonekana wa kawaida

Refa umekurupuka kuleta pambano la watu wa kada tofauti ..mshana pia sio mtu wa mchezo katika fani zake




Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji120][emoji120]
Buddhist temples
Brahma synagogues
Taoism college
Kshna temples
Meditation centers
Na vituo vya ulozi na ushirikina
Natamani kujua shule ulizosoma Mshana maana kusema ukweli we jamaa very exceptional that I can't compare.Super genius of JF.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…