Unawezaje kulinganisha vitu visivyo na uhusiano?Wakuu poleni na janga la Covid-19. Naamni mnaenda kuchukua tahadhari zote zinazotolewa na wataalamu wetu wa afya,bila kusahau kuendelea kufanya yale maombi ya siku 3.
Leo wakati naperuzi zangu jamiiforum nikawa nasoma post mbalimbali za watu lakini nikavutiwa na maandiko ya hawa jamaa wawili Mayalla na Mshana Jr. Ni dhahiri nyuzi zao ndo zinaongozwa kwa kusomwa na watu. Nikaona si vibaya km tumkitafta Tanzania one (T.O) wa Jamii Forum kwa kuwapambanisha hawa malegendari. Je nani zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unawapambanisha kwenye nini haswa?
Mtu ambaye ana nyuzi nyingi?
Mtu ambaye nyuzi zake zinasomwa sana?
Mtu ambaye anapenda kufungua nyuzi tuu?
Mtu ambaye anaongoza kwa kupest nyuzi zake kwenye nyuzi za wenzake.?
Mtu ambaye anaongoza kwa kutumia emoji sana?
Mtu ambaye ana kitambi kumzidi mwenzake?
Kuwa wazi tujue.
Paschal alishaamua kuwa mpiga ramuli wa serikali, Mshana anajitahidi sana ingawa bado ana ya kujfunza. Mimi binafsi Mayalla ananiangusha sana ni mwandishi wa kitambo na nadhani ni agemate wangu wangu ila kaamua kuitelekeza taaluma yake.Dogo binadamu hawafananishwi, hafu jua kuwa Paschal ni kada mtiifu wa CCM na mtia nia ya Ubunge ambaye jina lake litakatwa, Mshana ni kijana wa makamo ambaye huleta hoja nyingi fikilishi ziwe za ulozi, mapenzi, Siasa, uchumi nk.Paschal amejiegemeza zaidi kutetea watawala wa awamu hii
Dah kwa ulivyomwaga sifa utakuwa wewe ndiyeSina historia ya Mshana na sijui kama ndio jina lake halisi. Kama mimi hili hapa sio jina langu halisi. Ila utafanyakosa la mwaka kuweza kumuweka P na mshana katika mizani. Kama utakuwa na umri mkubwa kama mimi natarajia kabisa huyu Mayala ni wa kumheshimu na kama utakuwa mdogo kama mtoto wangu rejea mkutano wa kwanza wa JPM na waandishi wa habari swali aliloulizwa Ngosha mpk akashindwa kujibu akaingilia kutoa maana ya jina la Mayala. Nenda maktaba ya Taifa kasome 1995 Mayala alifanya nini katika uchaguzi wa Zanzibar. Huyu ni Paskali wa Maonesho ya 77 kila akiingia mabanda yote yanampa kazi sasa Mshana analipi jipya. Paskali huyu ambaye alivuna miaka ile ya kuendesha kipindi bora kabisa kuwahi kutoka tokea kuingia kwa Luninga kwa Watanzania japo zilikuwepo ila wenye roho mbaya wakazuia ili waone wao. Huyu ndio Paskali mwandishi hasa wa habari sio waandishi wa mitandao ya kijamii. Huyu ni Mayala aliyetumia mashine ngumu ya kuchapa ili kuandika habari sio hao ambao wamekutana computer. Paskali huyu ni mwanasheria hasa sio hao wengine. Huyu ni mmoja wa watu ninao wafahamu walioonja mauti kwa ajali mbaya ya pikipiki je kuna mtu kashaonya kifo kama sio huyu na Tundu Lissu hapo tofauti ya ajali ila P alipata ajali mbaya sana. Mimi kwangu ni p zaidi ya Mshana
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikera sana kumlinganisha mshana na pumba za kuku a.k.a makarai ya kukaangia chips za magomeni ... Umenikera Sana mleta mada ungekuwa karibu yangu leo nilikuwa naenda kulala Segerea hakya mama
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hili nakusupport 100%, nimemfahamu Paskali kwenye miaka ya 200i, alikuwa kijana mwandishi very bright and ambitious. Ila kinachomtokea sasa hivi kinanisikitisha na ninatamani sana siku moja mzee Meko amkumbuke. anachokifanya kinampunguzia sana credibility.mshana anakurupuka sana katoka kutudanganya uko buhari kafariki sijui hajui kusoma ata kizungu is paskali akiacha usnitch ni mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa sasa Paskali imepoteza sifa alizozijenga kwa kitambo kwa kweli. kilichotokea anajua mwenyewe ila kaamua kubet kisiasa.Dah kwa ulivyomwaga sifa utakuwa wewe ndiye
Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
Mshana Jr much respect mkuu Mimi hadi namba yako ninayo bro kura yangu nakupa your the best oneWakuu poleni na janga la Covid-19. Naamni mnaenda kuchukua tahadhari zote zinazotolewa na wataalamu wetu wa afya,bila kusahau kuendelea kufanya yale maombi ya siku 3.
Leo wakati naperuzi zangu jamiiforum nikawa nasoma post mbalimbali za watu lakini nikavutiwa na maandiko ya hawa jamaa wawili Mayalla na Mshana Jr. Ni dhahiri nyuzi zao ndo zinaongozwa kwa kusomwa na watu. Nikaona si vibaya km tumkitafta Tanzania one (T.O) wa Jamii Forum kwa kuwapambanisha hawa malegendari. Je nani zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile id ya Lizaboni ilikuwa inatumiwa na Makonda ?Wakuu poleni na janga la Covid-19. Naamni mnaenda kuchukua tahadhari zote zinazotolewa na wataalamu wetu wa afya,bila kusahau kuendelea kufanya yale maombi ya siku 3.
Leo wakati naperuzi zangu jamiiforum nikawa nasoma post mbalimbali za watu lakini nikavutiwa na maandiko ya hawa jamaa wawili Mayalla na Mshana Jr. Ni dhahiri nyuzi zao ndo zinaongozwa kwa kusomwa na watu. Nikaona si vibaya km tumkitafta Tanzania one (T.O) wa Jamii Forum kwa kuwapambanisha hawa malegendari. Je nani zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Jr nampa points nyingi japokuwa aliwai niloga nikaenda kituo cha polisi kuulizia kama kilimo cha bangi kinalipa ?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]watu wachokozi nyie basi tu!!Mhh basi yuko active jukwaa moja tu kama Pascal
Mshana is everywhere!.
Sio mtu yule ni Taasisi
Iko online 24/7
Nahis wewe utakua p mayalaSina historia ya Mshana na sijui kama ndio jina lake halisi. Kama mimi hili hapa sio jina langu halisi. Ila utafanyakosa la mwaka kuweza kumuweka P na mshana katika mizani. Kama utakuwa na umri mkubwa kama mimi natarajia kabisa huyu Mayala ni wa kumheshimu na kama utakuwa mdogo kama mtoto wangu rejea mkutano wa kwanza wa JPM na waandishi wa habari swali aliloulizwa Ngosha mpk akashindwa kujibu akaingilia kutoa maana ya jina la Mayala. Nenda maktaba ya Taifa kasome 1995 Mayala alifanya nini katika uchaguzi wa Zanzibar. Huyu ni Paskali wa Maonesho ya 77 kila akiingia mabanda yote yanampa kazi sasa Mshana analipi jipya. Paskali huyu ambaye alivuna miaka ile ya kuendesha kipindi bora kabisa kuwahi kutoka tokea kuingia kwa Luninga kwa Watanzania japo zilikuwepo ila wenye roho mbaya wakazuia ili waone wao. Huyu ndio Paskali mwandishi hasa wa habari sio waandishi wa mitandao ya kijamii. Huyu ni Mayala aliyetumia mashine ngumu ya kuchapa ili kuandika habari sio hao ambao wamekutana computer. Paskali huyu ni mwanasheria hasa sio hao wengine. Huyu ni mmoja wa watu ninao wafahamu walioonja mauti kwa ajali mbaya ya pikipiki je kuna mtu kashaonya kifo kama sio huyu na Tundu Lissu hapo tofauti ya ajali ila P alipata ajali mbaya sana. Mimi kwangu ni p zaidi ya Mshana
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikera sana kumlinganisha mshana na pumba za kuku a.k.a makarai ya kukaangia chips za magomeni ... Umenikera Sana mleta mada ungekuwa karibu yangu leo nilikuwa naenda kulala Segerea hakya mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa unabishana sana na ndugu yangu huyu, mnapendana[emoji23][emoji23][emoji39][emoji125]