Pascal Mayalla atoa dongo kwa UKAWA

binafsi naona amejaribu tumia sarcasm ,anaweza kuwa hana maana ya moja kwa moja kwa kile anachosema hasa nikirejea aina kadhaa ya threads zake,ila lengo likawa kuendeleza mjadala zaidi kwa hao jf members nk
 
Ivi uyu pascal mayala kama kweli anajua hayo kwa nn kwanza asiwambie CCM ya upande wa zanzibar?ilikuwa wajaze fomu walalamike sio kufuta uchaguzi.P.M usiwe na akili uchwara kaka
Tuelimishane kodogo, aliyefuta uchaguzi ni CCM au ni Jecha kupitia ZEC, unamaanisha ZEC ndio CCM Zanzibar?!, na NEC itakuwa ndio CCM Bara?!.

Paskali
 
kuwa mwanachama wa kile kichama chetu pendwa
Kwa bahati nzuri au mbaya, mimi sio mwanachama wa CCM, au wa chama kingine chochote cha siasa!.

By nature ya kazi yangu, moja ya miiko na misingi mikuu ya maadili ya uandishi wa habari kwetu sisi waandishi wa habari ni vitu vitatu, truthfulness, objectivity na impartiality, hivyo hatupaswi kuwa wanachama wa chama chochote, kutaingilia objectivity na impartiality hivyo mimi niko very truthfully, very objective na total impartial.

Mara ya mwisho kuajiriwa na kutumwa ni mwaka 2002 nilipokuwa TBC!, baada ya hapo nimeachana kabisa na kazi zozote za kitumwa na kutumwa, bila kujalisha unatumwa na nani!.

Paskali
 
poa giza linaingia ngoja nikaingize kuku nta back soon
 
Hii ndiyo NEC ile iliyorudisha 12b? Hivi NEC ni team au ni mtu 1? Sikujua kama kwenye level ya Jaji, PHD, prof, unaweza kutakata kusifiwa kama mtoto wa sekondari anayepewa pesa ya matumizi then mwisho wa muhula anarudisa pesa nyumbani kwa unyenyevu wa uongo akasema " baba pesa hii imebaki". Mtoto mwenye akili timamu atajisikia vibaya pale baba atavyomjibu asante kwa kurudisha lakini mbona huna vitabu! pesa hii itumie kwa kununulia vitabu.
 

unataka tuige mfano wa marekani sio? ..kwahiyo polisi wakiua raia wawili na raia waue polisi watano, kama vile Dallas, si ndio?
 
TE="CHUAKACHARA, post: 16799701, member: 45260"]Huelewi unachokisema na uelewa mdogo! Short sited analysis. Your analysis is too superficial, narrow and is not guided by reason.[/QUOTE]
Dont use a language you don't understand. What do you .mean by short sited?
 
unataka tuige mfano wa marekani sio? ..kwahiyo polisi wakiua raia wawili na raia waue polisi watano, kama vile Dallas, si ndio?
Kila taifa lina mazuri na mabaya lazima za mbayuwayu tia na zako (ref JK). Tunaiga mazuri mabaya tunayaacha. Hivi nikuulize mkuu hata tukiiga ya Dallas, hapa kwetu ni wazungu wangapi wapo Polisi Tanzania? ili watuue weusi
 

Huyo Mayala naye kama kiazi fulani hivi au kasahau tu. Hajui kuwa katika nchi hii matokeo ya uchaguzi wa urais hayahojiwi mahala popote pale katika JMT au watu wa NEC walisahau kumwambia hilo!!!!!!!!!!.
 
huu umbeya,haustahili kujadiliwa,Mallya hajafikia levo ya kujadiliwa jamii forum,ni vyema taarifa za kishakunaku kama hizi ukazisambasa kwenye grup lako la wasap na ccm wenzio...mchana mwema
 

Kweli? Ukweli mpaka tusubiri kwenye banda la maonesho ya Dar Trade Fair?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…