Mkuu wa Uchakachuaji na kamati za Ufundi January ndiyo aliyegeuza matokeo na kuwa yalivyo sasa , kinyume na Hapo Leo hii ccm ingekuwa chama cha upinzani Kama KANU ya Kenya .
weweee wananchi walizinduka. baada ya kuona watuhumiwa wa ufisadi ni dhambi kwenda ikulu. ikulu ni mahali patakatifu unadhani kila mtu anaweza kwenda pale? ? hebu tumieni akili zenu kufikiri. haya hata kama hamuwezi kufikiri, hata Dr Slaa hamkumsikia wosia wake? jamani hata viongozi wengine hamkuwahi wasikia wakizungumzia ufisadi na mafisadi??, Lissu, Mnyika, Msigwa,Lema, Mbowe, Kubenea na wengine wengii tu. you should take their first statement and never their refreshed statement because we believe the refreshed on comes after some incentives.
mm namkubali mh wasira alipeleka kesi mahakamani kupinga ushindi wa bulaya akaambiwa ameshindwa akakubali. kimbembe kipo kwa wapinzani hawakubali mpk waandaman e, leo hii kafulila kila siku anashinda mahakamani aiseeee pesa za ubunge tamu
Ukiona mtu anatumia hoja za nguvu baadala ya nguvu za hoja mwogope kama ukoma. Nimekueleza kuwa maandamano kwa sasa ni uanaharakati wala si kujenga chama. Chama kinajengwa na wakareketwa. Mikutano ya hadhara haijengi chama bali ni kama burudani.
tunataka maendeleo sio maandamano, mnyika miaka 5 anaandamana kila mara badala ya kuleta maendeleo kutahamaki uchaguzi huu na jimboni hakuna alichofanya akaamua kuhama jimbo