Pascal Mayalla atoa dongo kwa UKAWA

Paskali utaitwa msaliti, unamtetea Ngosha mwenzako, na matusi yote. Ila umewapa fact ....hawa vijana wanajua kuipinga tu CCM lakini si kuwapa viongozi wao fact ....kuna timu ilienda The Hugue na mikwara kibao lakini hadi leo hakuna aliyeuliza mrejesho maana tuliambiwa wana kila ushahidi na patachimbika...
 
Paskal, hapana. Ya jana ni muhimu. Usipoyaangalia ya jana huwezi rekebisha ya kesho. Ni muhimu umma ukajua kuwa kura ziliibiwa, lakini uwe na ushahidi usio na mashaka, na nasisitiza USHAHIDI USIO NA MASHAKA. Kama ushauri wako ni sahihi, walioiibia serikali huko nyuma tuwaache tuangalie ya mbele! Kura ziliibiwa, sasa nini kifanyike 2020 yasitokee. Paskali ukiwa CCM huwezi kuyaona yanayosemwa na wapinzani, mpaka yakupate; au unayaona lakini unapuuza kwa vile hayakuumizi. Mahakamani na kwenyewe????? Unamkumbuka Lwakibarila? Unaamua kuachana na mahakama.
 
Siku ambayo Lowasa alijaza form hiyo ya malalamiko na kuileta pale ukumbini, kina Lubuva walienda kujificha chooni na walinzi wakafunga geti.
Yani hadi picha inanijia kabisa akilini jinsi hao walinzi wa tume wanavyobana mageti and yule babu anavyoingia na kujifungia toilet.... Ha ha...
 
Wewe ombea kona bar iendelee kufanya kazi ili upate mkate wako wa kila siku,mambo ya siasa yaache kwa wananchi na wenye uchungu na nchi yao

Unasikitisha na kuzidi kuonyesha kuwa kweli hauna lolote, we kaaa chini wachungulie wenzako wale wa kile chama kupitia tundu la funguo kwanza labda hasira zako zitaisha.

Kwani wafanyao bar si wanajipatia pesa yao kwa juhudi zao. Hauoni ni bora kuliko wewe unayekuja kuandika mahasira humu, bila hata ka point kakuvutia? Upo bizi humu ili uende kubeba mikoba ndio upate mlo au nini tena unafanya kuandika kunijibu pumbaz, nasema tena mnakiangusha chama chenu watu kama wewe. Nenda kakope hata andazi ule brunch...njaa isikumalize.


Oops..ila pia usisahau kuwa mwisho wa siku usiposaka pesa zako basi utakuwa mbeba pochi tu, bora uje hapa kona bar tufanye kazi pamoja...bosi kasema vyoo vinachafuka haraka...anahitaji mtu wa kukaa karibu na masinki na redio ataweka yenye kuweza kurusha bungelive pia...
 

Dah, naona mchezo wa "nuances" hapa. Kwa hiyo Mkuu Paschal unatuambia hukusema "wajumbe wa Jamii Forums wanaompigia debe kiongozi wao" na, hivyo, mleta mada kaongeza pili pili! Zaidi, JF ni forum ya umma; haina wajumbe labda makada wanaoajiriwa na vyama vyao kwa minajili ya propaganda.

Hivyo, ungeelekeza ujumbe wako kwa umma kwa ujumla na sio kwa jukwaa. Wako wengi wasiomo humu hawakuridhika na uchaguzi. Wanazungumzia kwingine.

Halafu kwa nchi yetu ilivyo, usishangae kukuta watu wakikutilia shaka kuwa ulikuwa ukijiweka sawa na wamiliki wa taasisi unazofanya biashara nazo. Ni jambo linaloeleweka kabisa. Lisikupe tabu.
 
Hivi wateja bado wanapatikana kweli siku hizi?
 
Povu jingiiii wakat unajibu kama upo gizani
 
Naona umevamia mtumbwi wa vibwengo
 
Njaaa kali sana wacha aendelee anaweza kukumbukwa baadae na raisi mwema
 
Hivi wateja bado wanapatikana kweli siku hizi?

Awuuuuuuuu, ulonipatia wewe hivi wanakunywaga pombe gani tena na wewe yako ile chibuku bado unakunywa????

Ususahau bosi anatafuta bado wa kazi ya kusafisha kuleeee kama nilivyokuandikia..patakufaaa sana.
 
Mkuu sikusema wajumbe wa jf, jf haina wajumbe!, nimesema baadhi ya members wa jf, wanaoshupalia mgombea wao kashinda ila kapigwa bao la mkono.

Uchaguzi wa 2015, kura za urais zimehesabiwa vituoni!, hivyo hao mawakala wao, wanazo fomu halisi za matokeo ya kweli walizosaini baada ya kuhesabu kura, na matokeo hayo ndio yaliyobandikwa kwenye vituo vya kupigia kura, na kutumwa NEC. Kama kuna wizi umefanyika, tallying yao ingeonyesha tofauti na tallying ya NEC!, nimeauliza walete fomu za motokeo za mawakala wao, tulinganishe!, kimya!, kazi kulalamika!.

Kwanza mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, na kampuni yangu inapokea tenda za matangazo, toka taasisi yoyote ya umma na binafsi, ambapo jukumu langu kuu ni to tell nothing but the truth.

Thanks.

Paskali
 
Awuuuuuuuu, ulonipatia wewe hivi wanakunywaga pombe gani tena na wewe yako ile chibuku bado unakunywa????

Ususahau bosi anatafuta bado wa kazi ya kusafisha kuleeee kama nilivyokuandikia..patakufaaa sana.
Bado unaogelea kwenye bwawa la ruba,hujui nini unafanya
 
Kama unalijua hilo kwa nini uendelee kubwabwaja?

Mara ooh mwaka huu hatutaibiwa!!

Mara ooh yule mtaalamu wa kuiba kura kahamia ukawa.

Mara ooh pigeni kura tu swala la ulinzi niachieni..!!

Halafu baadae unaibuka na story ya kuibiwa kura.

Mkuu, uko vizuri.

Unakumbukumbu mujarabu.

Halafu kilichotokea imebaki "story". Kura zikaibiwa na hakuna kwenda mahakamani kama sheria ikatazavyo...?

Tuko pamoja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…