Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,899
- 54,248
Umetisha kaka hata kama wewe sio mkristo umijibu vyema, chuka like ya maneno, na ya kitufe[emoji106] nimeshabonyeza.Mimi sio mkristo ila naelewa kuwa pasaka ni kufa na kufufuka kwa yesu. Alikufa ijumaa na akafufuka jpili. Hivyo mnaposherekea inabidi iangukie ijumaa, kama sijakosea ijumaa ya mwisho ya mwezi wa tatu pasipo kujali tarehe.
Ila Xmas ni bday, tarehe maalum. Ni kama bday yako kila mwaka siku tofauti ila tarehe ile ile.
I hope nimekusaidia