Pasaka: Asili, umuhimu wake na tamaduni zetu

Soma kitabu cha Kutoka 12 imeelezea vizuri sana msingi wa Pasaka

Nimekuta hiii...mlango wa 12....ila sijaona kama inahusiana na pasaka..

Bwana akanena na Musa na Haruni katika nchi ya Misri, akawaambia,
2 Mwezi huu utakuwa mwanzo wa miezi kwenu; utakuwa ni mwezi wa kwanza wa mwaka kwenu.
3 Semeni na mkutano wote wa Israeli, mkawaambie, Siku ya kumi ya mwezi huu kila mtu atatwaa mwana-kondoo, kwa hesabu ya nyumba ya baba zao, mwana-kondoo kwa watu wa nyumba moja;
4 na ikiwa watu wa nyumba ni wachache kwa mwana-kondoo, basi yeye na jirani yake aliye karibu na ny
 
Endelea kusoma mkuu, kuanzia mstari wa 11 hivi inaelezea vizuri sana, soma chapter nzima
 
“Kwa maana yale niliyopokea ndiyo niliyowapa ninyi, kama yenye umuhimu wa kwanza: kwamba Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama yasemavyo maandiko, ya kuwa alizikwa na alifufuka siku tatu” (1 Wakorintho 15:3-4)
 
Je, Tuabudu Sanamu?
Jibu la Biblia

  • “Usijifanyie sanamu ya kuchongwa wala umbo lililo kama kitu chochote kilicho juu mbinguni wala kilicho chini duniani wala kilicho ndani ya maji chini ya dunia. Usiviinamie wala kushawishiwa kuvitumikia, kwa sababu mimi Yehova Mungu wako ni Mungu anayetaka watu wajitoe kikamili.” (Kutoka 20:4, 5) Kwa kuwa Mungu anataka watu “wajitoe kikamili,” hafurahi kuona tukisifu au kuabudu sanamu, picha, au mifano.

  • “Sitakubali sanamu zichukue sifa yangu.” (Isaya 42:8, Easy-to-Read Version) Mungu hukataa ibada anayopewa kupitia sanamu. Baadhi ya Waisraeli walipoanza kumwabudu kupitia sanamu ya ndama, Mungu alisema kwamba walifanya “dhambi nzito sana.”—Kutoka 32:7-9, Easy-to-Read Version.

  • “Hatupaswi kuwazia kwamba Mungu ni kama dhahabu au fedha au jiwe, kama kitu kilichochongwa kwa ufundi na mtungo wa mwanadamu.” (Matendo 17:29) Tofauti na ibada ya kipagani, ambayo kwa kawaida huhusisha sanamu ‘zilizochongwa kwa ufundi na mtungo wa mwanadamu,’ Wakristo wanapaswa ‘kutembea kwa imani, si kwa kuona,’ kama Biblia inavyosema.—2 Wakorintho 5:7.

  • “Jilindeni na sanamu.” (1 Yohana 5:21) Katika amri ambazo taifa la Israeli na Wakristo walipewa, Biblia inafunua kwamba mafundisho ya kwamba Mungu anakubali matumizi ya sanamu katika ibada ni ya uwongo
 
nilijaribu siku moja kugoogle pasaka maana yake maana na mm nilikua nna mashaka juu ya hii sikukuu kama wewe nilichokipata sikuamini maana chanzo cha pasaka maana na hata jinsi inavyosherehekewa ni tofauti kabisa na uhalisia wake katika fikra za binadam tena pasaka ina mushkeli zaidi ya sikukuuu ya krismass ila kwa vile watu wamezoea na kuacha hawawez ndio hivyo waache washerehekee sikukuu za kutunga zenye misingi za kipagani
 
Je, Tuabudu Sanamu?
Jibu la Biblia

  • “Usijifanyie sanamu ya kuchongwa wala umbo lililo kama kitu chochote kilicho juu mbinguni wala kilicho chini duniani wala kilicho ndani ya maji chini ya dunia. Usiviinamie wala kushawishiwa kuvitumikia, kwa sababu mimi Yehova Mungu wako ni Mungu anayetaka watu wajitoe kikamili.” (Kutoka 20:4, 5) Kwa kuwa Mungu anataka watu “wajitoe kikamili,” hafurahi kuona tukisifu au kuabudu sanamu, picha, au mifano.

  • “Sitakubali sanamu zichukue sifa yangu.” (Isaya 42:8, Easy-to-Read Version) Mungu hukataa ibada anayopewa kupitia sanamu. Baadhi ya Waisraeli walipoanza kumwabudu kupitia sanamu ya ndama, Mungu alisema kwamba walifanya “dhambi nzito sana.”—Kutoka 32:7-9, Easy-to-Read Version.

  • “Hatupaswi kuwazia kwamba Mungu ni kama dhahabu au fedha au jiwe, kama kitu kilichochongwa kwa ufundi na mtungo wa mwanadamu.” (Matendo 17:29) Tofauti na ibada ya kipagani, ambayo kwa kawaida huhusisha sanamu ‘zilizochongwa kwa ufundi na mtungo wa mwanadamu,’ Wakristo wanapaswa ‘kutembea kwa imani, si kwa kuona,’ kama Biblia inavyosema.—2 Wakorintho 5:7.

  • “Jilindeni na sanamu.” (1 Yohana 5:21) Katika amri ambazo taifa la Israeli na Wakristo walipewa, Biblia inafunua kwamba mafundisho ya kwamba Mungu anakubali matumizi ya sanamu katika ibada ni ya uwongo

Kuna aya inasema hivi " Natamani kuila pasaka ya mwaka huu pamoja nanyi" haya maneno aliyatoa Bwana wa Sabato.
 
Kabisa

LUKA 22

MLANGO 22
1 Ikakaribia sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, iitwayo Sikukuu ya Pasaka.
2 Na wakuu wa makuhani na waandishi walikuwa wakitafuta njia ya kumwua; maana walikuwa wakiwaogopa watu.
3 Shetani akamwingia Yuda, aitwaye Iskariote, naye ni mmoja wa wale Thenashara.
4 Akaondoka, akaenda akasema na wakuu wa makuhani na majemadari, jinsi atakavyoweza kumtia mikononi mwao.
5 Wakafurahi, wakapatana naye kumpa fedha.
6 Akakubali, akatafuta nafasi ya kumsaliti kwao pasipokuwapo mkutano.
7 Ikafika siku ya mikate isiyotiwa chachu, ambayo ilipasa kuchinja pasaka.
8 Akawatuma Petro na Yohana, akisema, Nendeni, mkatuandalie pasaka tupate kuila.
9 Wakamwambia, Wataka tuandae wapi?
10 Akawaambia, Tazama, mtakapoingia mjini mtakutana na mwanamume akichukua mtungi wa maji; mfuateni mkaingie katika nyumba atakayoingia yeye.
11 Na mtamwambia mwenye nyumba, Mwalimu akuambia, Ki wapi chumba cha wageni, nipate kula pasaka humo pamoja na wanafunzi wangu?
12 Naye atawaonyesha chumba kikubwa orofani, kimekwisha andikwa; andaeni humo.
13 Wakaenda, wakaona kama alivyowaambia, wakaiandaa pasaka.
14 Hata saa ilipofika aliketi chakulani, yeye na wale mitume pamoja naye.
15 Akawaambia, Nimetamani sana kuila pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa kwangu
;
16 kwa maana nawaambia ya kwamba siili tena hata itakapotimizwa katika ufalme wa Mungu.
17 Akapokea kikombe, akashukuru, akasema, Twaeni hiki, mgawanye ninyi kwa ninyi;
18 Maana nawaambia ya kwamba tangu sasa sinywi mazao ya mzabibu hata ufalme wa Mungu utakapokuja.
19 Akatwaa mkate, akashukuru, akaumega, akawapa, akisema, [Huu ndio mwili wangu unaotolewa kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.
20 Kikombe nacho vivyo hivyo baada ya kula; akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu, inayomwagika kwa ajili yenu.]
 
Ni hivi!

Pasaka, hata Yesu mwenyewe aliikuta... Ndio maana usiku ule alipomega mkate na wanafunzi wake ilikuwa ni sikukuu ya pasaka.

Kama tujuavyo Israel ilitumikishwa sana na Farao huko Misri.

Sasa siku waliyoachiwa kutoka utumwani.. Waliifanya siku hii kuwa maalumu kwao.. Wakaiita pasaka.. Yani walisherehekea kukombolewa kutoka utumwani misri.

Baada ya Yesu kuteswa, kufa, kuzikwa na kufufuka kwa ajili ya Ulimwengu.. Hakika jambo hili lilikuwa kubwa mno kuliko lile la kukombolewa kwa Israel kutoka mikono ya Farao.

Hivyo pasaka ilibadilika kutoka kusherekea ukombozi wa Israel huko Misri hadi Ukombozi wa Ulimwengu kwa njia ya Msalaba..
 
Ningependa kuelimishwa maana ya hii siku ya Pasaka, asili yake na kama ilikuwepo kabla ya Yesu kusulubiwa..

Kumbukumbu zangu zinaniambia yesu alisulubiwa karibu au baada ya ile siku ya mikate isiyotiwa chachu, ningependa kufahamu kama hiyo siku inauhusiano na hii pasaka tunayosheherekea hivi sasa..

Kingine kama kuna ulazima wowote wa mkristo kusheherekea siku hii...

Natanguliza shukrani..
ok,pasaka ni:
a)ni siku ya wokovu na pia siku ya kuishinda mauti kwa wana wa israeli!ukisoma kitabu cha kutoka,pasaka ilianza pale Mungu alipo waamuru wanaisraeli wachinje kondoo halafu wachukue damu yake na waipake katika vizingiti vya mlango yaani juu ya mlango,kulia na kushoto,na kisha waile ile nyama ya kondoo pamoja na mkate usio tiwa chachu ukaumuka!hii ilikuwa ni amri kutoka kwa Mungu kwa waisraeli kabla ya Mungu kulileta Pigo la Kumi Kwa Misri Kwa Kuwaua Wazaliwa Wote wa Kwanza Kuanzia Wazaliwa wa Wadudu,Wanyama,Binadamu Pamoja na Mzaliwa wa Kwanza wa Farao!Hile Damu Ilikuwa ni Kama Ishara kwa Malaika wa Bwana Kuwa Hio Nyumba Iliyo Pakwa Damu Ilisha Kombolewa kwa Damu ya Kondoo Aliye Chinjwa!
b)Pia hio damu ya mwana kondoo iliwakilisha damu ya Yesu itakayo mwagika baadae kwa ajili ya Kufuta Dhambi za Wakristo na Kukishinda Kifo kwa Kuununua Uhai wa Milele
c)Kondoo wa Kitabu cha Kutoka ni Kivuli cha Masiha Yesu aliyekufa Katika Agano Jipya.
d)Yesu alikufa baada ya kula karamu ya pasaka na wanafunzi wake
 
Nimekuta hiii...mlango wa 12....ila sijaona kama inahusiana na pasaka..

Bwana akanena na Musa na Haruni katika nchi ya Misri, akawaambia,
2 Mwezi huu utakuwa mwanzo wa miezi kwenu; utakuwa ni mwezi wa kwanza wa mwaka kwenu.
3 Semeni na mkutano wote wa Israeli, mkawaambie, Siku ya kumi ya mwezi huu kila mtu atatwaa mwana-kondoo, kwa hesabu ya nyumba ya baba zao, mwana-kondoo kwa watu wa nyumba moja;
4 na ikiwa watu wa nyumba ni wachache kwa mwana-kondoo, basi yeye na jirani yake aliye karibu na ny
Haimanishi pasaka ina maanisha Muharam, au ile siku waislam huchija, kuhusu pasaka soma bandiko la Yerico Nyerere kule fwesibuku
 
Endelea kusoma mkuu, kuanzia mstari wa 11 hivi inaelezea vizuri sana, soma chapter nzima

Uko sawa kabisa...Pasaka(passover) iliyoamriwa na Mungu kushikwa ilifanyika siku ya 14 ya mwezi wa kwanza wa Kibiblia. Na imeelezewa vizuri katika Vitabu vya Kutoka 12 na Mambo ya Walawi 23:5

Siku ambayo Yesu alisulubiwa ilikuwa ni sikukuu hii ya Pasaka(passover)...Lakini kabla ya hapo aliwaachia kumbukumbu ya kuadhimisha Kifo chake...Marko 14, Luka 22:19, 1 Wakorintho 11:26....The lords supper.

Je Pasaka ndiyo Easter?
 
Yaan sijaelewa umejibu au vipi...maana mwishoni inaonyesha bado na ww kuna kitu huelewi
 
Haimanishi pasaka ina maanisha Muharam, au ile siku waislam huchija, kuhusu pasaka soma bandiko la Yerico Nyerere kule fwesibuku
Nimesoma kutoka sijaelewa kabisa uhusiano wake na pasaka.....

Na bado nasubiri maana kabisa ya hii sikukuu ni kuadhimisha kifo cha yesu au ina mambo mengine
 
Ni hivi!

Pasaka, hata Yesu mwenyewe aliikuta... Ndio maana usiku ule alipomega mkate na wanafunzi wake ilikuwa ni sikukuu ya pasaka.

Kama tujuavyo Israel ilitumikishwa sana na Farao huko Misri.

Sasa siku waliyoachiwa kutoka utumwani.. Waliifanya siku hii kuwa maalumu kwao.. Wakaiita pasaka.. Yani walisherehekea kukombolewa kutoka utumwani misri.

Baada ya Yesu kuteswa, kufa, kuzikwa na kufufuka kwa ajili ya Ulimwengu.. Hakika jambo hili lilikuwa kubwa mno kuliko lile la kukombolewa kwa Israel kutoka mikono ya Farao.

Hivyo pasaka ilibadilika kutoka kusherekea ukombozi wa Israel huko Misri hadi Ukombozi wa Ulimwengu kwa njia ya Msalaba..
Nimekueelewa sana mkuu kumbe hii pasaka tumejitungia wenyewe eee
 
Duniani hapa asilimia kubwa ya watu wanamtafuta Mungu, lakini imekuwa vigumu kujua njia sahihi ya kufuata ili kumfikia Mungu wa kweli! Hii inatokana na mgawanyiko mkubwa ndani ya waamini wa dini moja. Mfano kuna dini tano dunuani. Je , ni IPI dini ya kweli?? Kuna dini ya kikristu lakini inamatawi lufufu anayejua vema tafadhali toa idadi. Kuna dini ya Kiisilamu, nayo inamatawi mengi, inayejua vema tafadhali ataje idadi. Je , kwa sababu hiyo, ni dini na tawi lipi sahihi la kumfikisha MTU mbinguni???

Mapadre,Mashehe, Wachungaji, Maaskofu ,waumini/waamini na wanajanvi karibuni tudadavue kama sehemu ya sherehe hii ya Pasaka. Karibuni. Yesu amefufuka Aleluya Aleluya!
 
Nimekutana na wanawake wawili hapa UG hawa ni ma boss wangu kutoko hukooo France, sikumbuki tulianzia wapi maongezi haya ila mwishoni mmoja wapo akawa akisikitika mwanae kubadili dini na kuwa muislam... kikongwe huyu sura yake ilionyesha fadhaa kabisa... kiuchokonozi niakuliza why? yule mwingine akadakia kwa kiingereza chake cha hivyo hivyo, ''it is a big problem now in France, many people especially young ones'', akamalizia kwa kusema yule mwingine, ''not only in France whole of Europe now''...... mimi chini kwa chini nikatoa ka kicheko ... kwikwikwi....nikajisemea moyoni wanakuja hao .....Allah is greatest ever[
alleh the murderer
 
Ningependa kuelimishwa maana ya hii siku ya Pasaka, asili yake na kama ilikuwepo kabla ya Yesu kusulubiwa..

Kumbukumbu zangu zinaniambia yesu alisulubiwa karibu au baada ya ile siku ya mikate isiyotiwa chachu, ningependa kufahamu kama hiyo siku inauhusiano na hii pasaka tunayosheherekea hivi sasa..

Kingine kama kuna ulazima wowote wa mkristo kusheherekea siku hii...

Natanguliza shukrani..
kwa ufupi pasaka ni upotoshaji; na hii sikukuu ilikuweko hata kabla ya bw yesu kuondoka, yeye mwenyewe aliia sikuu kuu hii mara 33. ni sikuu ya mikate iliyotiwa chachu, na wala si siku ya kusurubiwa .
 
Kwahyo maana halisi ya pasaka ni siku ya mikate isiyotiwa chachu... tuseme kuwa baada ya Yesu hii sherehe ikabadilika kuenzi ufufuko wake...

Kama ni hivyo mbona kila siku inabadilika, haina siku moja, kuna kipindi ipo mwezi wa nne, kuna kipindi inafanyika mwezi march, kinachofanya tarehe isiwe moja ni nn?
 
Back
Top Bottom