Swali zuri sana kwa mulizaji..sababu ...ni .kwanza ni kalenda ya Kanisa Katoliki Duniani...kuwek a liturujia ya ibada zake pamoja na sikukuu zingine..
Jibu S's ni kwa nn pasaka inabadilika hii ni kutegemeana na Siku arobani za mfuko zinapotimia...kama jumatano ya majivu huwa ndio mwanzo wa kwaresma S's bsi inategemea na mwezi UPI na trh IPI kwaresma imeanza...na ndio huweka hitimisho LA pasaka..