Pasaka: Asili, umuhimu wake na tamaduni zetu

Pasaka: Asili, umuhimu wake na tamaduni zetu

Ninaomba Kujuzwa Kama Si Kueleweshwa Kwanini tarehe ya Pasaka Hubadilika Badilika Kila Mwaka? Mbona Krisimasi Tarehe Ni Ile Ile 25 Dec Kila Mwaka Na Huwa Haibadiliki?

cc Mchungaji Illovo
Mimi sio mkristo ila naelewa kuwa pasaka ni kufa na kufufuka kwa yesu. Alikufa ijumaa na akafufuka jpili. Hivyo mnaposherekea inabidi iangukie ijumaa, kama sijakosea ijumaa ya mwisho ya mwezi wa tatu pasipo kujali tarehe.
Ila Xmas ni bday, tarehe maalum. Ni kama bday yako kila mwaka siku tofauti ila tarehe ile ile.
I hope nimekusaidia
 
Mabadilliko ya Jumatano Ya Majivu, Siku Arobaini za Mfungo Na Wiki Kuu, pia Mpangilio wa Mwaka wa Kanisa husababisha Siku hii ya pasaka kuwa tofauti. Mpangilio wa kuiwezesha Siku hii iangukie Siku ya kwanza ya Juma yaani Jumapili husababisha tarehe kubadilika.
 
Huo no utaratibu uliowekwa na watu tu na wao ndo wanapanga Siku ya pasaka iwe lini. Kwa iyo kwa SBB na wao ndo viongozi walioiweka pasaka, ikipangwa hakuna Wa kupangua.

Cha msingi tu kujua. In kwamba jambo lolote LA Kimungu likifanyika lazma liwe na udhihirisho Wa nguvu za Mungu, km. Hakuna udhihirisho basi ni batili halina faida ya kufanya au kutofanya.
 
Mimi sio mkristo ila naelewa kuwa pasaka ni kufa na kufufuka kwa yesu. Alikufa ijumaa na akafufuka jpili. Hivyo mnaposherekea inabidi iangukie ijumaa, kama sijakosea ijumaa ya mwisho ya mwezi wa tatu pasipo kujali tarehe.
Ila Xmas ni bday, tarehe maalum. Ni kama bday yako kila mwaka siku tofauti ila tarehe ile ile.
I hope nimekusaidia
Sasa tarehe ya kufa nayo inadilika aliyekufa siku fulani mwakani inabadilika au?
 
Hivi ikibadilika ama isipobadilika wewe inakusumbua nini? ama shida iko wapi? unakuja na swali la kitoto kujaza server za watu?
sio swali la kitoto, ila comment yako ndio ya kitoto, huyu mdau anataka kupata maarifa wewe unambeza?
 
Huo no utaratibu uliowekwa na watu tu na wao ndo wanapanga Siku ya pasaka iwe lini. Kwa iyo kwa SBB na wao ndo viongozi walioiweka pasaka, ikipangwa hakuna Wa kupangua.

Cha msingi tu kujua. In kwamba jambo lolote LA Kimungu likifanyika lazma liwe na udhihirisho Wa nguvu za Mungu, km. Hakuna udhihirisho basi ni batili halina faida ya kufanya au kutofanya.
hao wanaopanga wanatumia muongozo gani?
 
Hapo zamani wayahudi walikua wanaadhimisha sikukuu yao siku chache kabla ya pasaka kutegemeana dunia ilivyokuwa inalizunguka jua.hivyo sikukuu ya pasaka hutegemea na dunia kulizunguka jua.jaribu kuangalia pasaka zote huwa ni kati ya tar.23 March na tar.8 april.haijawahi kuvuka hapo..na taree hizo ndipo dunia hulizunguka jua
 
Ndio inabadilika. Ila kumbuka pasaka haijawekewa tarehe maalum kama Xmas 25. Cha msingi ni siku hio iwe jpili ya mwisho ya mwezi wa tatu pasipo kuangalia tarehe .
Btw that is how I understand kama kuna mtu anajua atueleze vizuri
Binafsi bado sijakuelewa mkuu tarehe ya kuzaliwa ni moja kama ilivyo ya kufa sasa iweje tarehe ya kufa iwe nabadilika na kuziliwa isibadilike?
 
Mi ni mkristo agano la kale linasema yesu alikula pasaka mi inanichanganya kiukweli
Slim shedy. Thea two days conside with each other.
If am not mistaken the last supper was a celebration of the Passover feast( the day the Israelite were delivered out of Egypt) this is what Jesus and his disciples were celebrating. It is the same day or the day after that Jesus was crucified
 
Back
Top Bottom