Pasaka: Asili, umuhimu wake na tamaduni zetu

Pasaka: Asili, umuhimu wake na tamaduni zetu

Paschal = Passover feast. Hii ni sherehe ya wayahudi wanasherekea kukombolewa kutoka misri
Easter death and resurrection of Jesus
Passover ndo ipo kwenye bibilia hayo yakuserekea kufana na kufufuka kwa yesu mi mambo ya kipagani yaliyo ingizwa kwenye ukrsto na yalkuwapo hata kabla ya yesu kuzaliwa tafuta kitabu au documentary kinaitwa" the pagan Christ " uone jinsi ukristo ulivyo adapt upagan
 
Mi pia huwa inanichanganya pia pasaka msingi wake nini mbona agano lakale lina sema bwana alikula pasaka hapo tu
Pasaka ile ilikuwa ya wayahudi na Yesu alikula kama ilivyo desturi ya wayahudi LUKA 21: 14-23, MATHAYO 26: 17 - 25. Sasa kuteswa kwa Yesu Kristu ameweka Pasaka mpya ya watu wote na si ya wayahudi pk yao KUTOKA 12:1-14. Ahadi ya Mungu kuwakomboa watu. Yeye ni mwanakondoo wa sadaka. Hatutakiwi kutoa dhabihu za kuteketeza kwakuwa Kristu ndo mwanakondoo wetu na ameshatolewa sadaka.
 
Hivi ikibadilika ama isipobadilika wewe inakusumbua nini? ama shida iko wapi? unakuja na swali la kitoto kujaza server za watu?
Hivi ikibadilika ama isipobadilika wewe inakusumbua nini? ama shida iko wapi? unakuja na swali la kitoto kujaza server za watu?

Hauko sahihi kabisa. Kama unaona swali hili halikugusi si lazima uchangie. Wewe ndio umejibu kitoto. .
 
Mambo ya Imani as watu hayo.
Iddi na mfungo hutegemea mwezi kuandama .
Hali kadharika Pasaka ni Xmas tu iko tarehe hiyo hiyo.
 
Hapo zamani wayahudi walikua wanaadhimisha sikukuu yao siku chache kabla ya pasaka kutegemeana dunia ilivyokuwa inalizunguka jua.hivyo sikukuu ya pasaka hutegemea na dunia kulizunguka jua.jaribu kuangalia pasaka zote huwa ni kati ya tar.23 March na tar.8 april.haijawahi kuvuka hapo..na taree hizo ndipo dunia hulizunguka jua
huna akili mkuu, dunia inazunguka jua muda wote.
 
Huo no utaratibu uliowekwa na watu tu na wao ndo wanapanga Siku ya pasaka iwe lini. Kwa iyo kwa SBB na wao ndo viongozi walioiweka pasaka, ikipangwa hakuna Wa kupangua.


Cha msingi tu kujua. In kwamba jambo lolote LA Kimungu likifanyika lazma liwe na udhihirisho Wa nguvu za Mungu, km. Hakuna udhihirisho basi ni batili halina faida ya kufanya au kutofanya.
Una akili na imani finyu! Umefungwa nira tafuta namna ya kujinusuru! Unawaza kitumwa!
 
Una akili na imani finyu! Umefungwa nira tafuta namna ya kujinusuru! Unawaza kitumwa!
Sasa kama yy kasema imewekwa na watu na ww unapnga haijawekwa na watu cuthibtshe tu kwamba haijawekwa na watu kulko kutokwa na povu hv
 
Una akili na imani finyu! Umefungwa nira tafuta namna ya kujinusuru! Unawaza kitumwa!



Sasa MBNA ckuelewi una bisha au???? Kwa iyo unataka kusema in Mungu ndo amesema pasaka I we Kesho???????? Usishabikie kwa SBB ww upon Katholiki tafuta kujua ukweli ili uwe huru. YOHANA 8:30-33. MUNGU AKUFUNGUE UFAHAMU NA MACHO YA MOYO WAKO YATIWE NURU KWA JINA LA YESU KRISTO
 
Back
Top Bottom