Partners in Crime

Partners in Crime

Hahahahahah lol!!!! sasa kama wadada wanaweza kuhitimisha hivyo kwa kusoma niandikayo kuna ubaya gani banaaaa!!!! Mie huko PM kwa kweli ni nadra sana lakini mtu akikutumia PM kutaka kujua BAK anaendeleaje humjibu lakini si kukaa huko kwa kukaa masaa chungu nzima. Kusifiwa imeshakuwa kosa!!! na kugeuzwa kuonekana the most dangerous person hahahahah lol!!!! Haya banaaaa...lakini sitabadilika BAK ndivyo alivyo!!!! au labda kipindi cha kusepa kwa long kipindi kimewadia maana kutajwatajwa namna hii ni nomaaaa midomo mengine haina heri 🙂🙂....Mzima lakini weye!?



ha haaa, umeniwahi rafiki.... BAK ana nyuzi nyingi sana humu za kusifiwa..... tena zote za wadada......
usikute ndo Nyani Ngabu aliyewasema wanashinda PM........
inakuwaje wadada wanamwona ni good boy?
aje atuambie huko PM anawaambiaga nini, lol!
leo rafiki hapa huchomoki
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha lol!!!! siwapi chochote kile ni maongezi ya kusalimiana tu for few mins kisha kila mtu anasepa kivyake vyake, mtafanya hackers wa JF waingie huko kutafuta BAK anaandikiwa nini na yeye anaandika nini. Wadada wanasoma kinachoandikwa hapa na kuweza kufikia hitimisho.

na wewe unamsifia pia BAK ?
sijui anawapa nini huko pm ?..
mzima lakini?
 
Hahahahahaha lol!!!! Sasa umehamia kwenye rep power, siku zote kumbuka ukitoa utapewa lakini ukiwa na mkono wa birika hupati kitu. Kwa taarifa tu ni kwamba wanaoongoza kunipa Rep power ni Mr Rocky, Dr MziziMkavu na 24hrs

Ushawahi kuiona rep power ya BAK?

Jamaa anatisha. Nadhani anaongoza.

Na sidhani kama ni njemba ndo humuongezea hizo rep powers. Lazima itakuwa wachuchuz.
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhh!!!! BAK aogopwe kwa lipi banaaa hahahahaha acha hizoooo....Naona sasa kweli umepona maana haya mashambulizi yako kwangu yamezidi kipimo 🙂🙂


ha haaa, rafiki yangu mmoja kwenye kundi la bad boys ( The Boss) mwingine kwa good boys ( BAK),
wote wanaogopwa, lol!
unaanzaje kuogopa mtu wa kwenye key board?
naomba jibu toka kwa Smile!
 
Usisepe rafiki, we need you here....
waweza kuwa asali ya warembo hapa JF, lol! maana kila mrembo anakusifia wewe tu rafiki...
Ni visuri ukifanya mazuri kwa watu mpaka waka-notice.... keep it up rafiki...
Huu wimbo naupendaga sana rafiki, thanx...
Mimi mzima kabisa, hofu kwako
Hahahahahah lol!!!! sasa kama wadada wanaweza kuhitimisha hivyo kwa kusoma niandikayo kuna ubaya gani banaaaa!!!! Mie huko PM kwa kweli ni nadra sana lakini mtu akikutumia PM kutaka kujua BAK anaendeleaje humjibu lakini si kukaa huko kwa kukaa masaa chungu nzima. Kusifiwa imeshakuwa kosa!!! na kugeuzwa kuonekana the most dangerous person hahahahah lol!!!! Haya banaaaa...lakini sitabadilika BAK ndivyo alivyo!!!! au labda kipindi cha kusepa kwa long kipindi kimewadia maana kutajwatajwa namna hii ni nomaaaa midomo mengine haina heri 🙂🙂....Mzima lakini weye!?

 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Ubaya ni kwamba the baddest of them all amevaa ngozi ya kondoo. Yaani huwezi kumdhania wala nini. Hao uliowataja hapa wote are the good boys. Ni kama wakati tunakua, bad boy wa masaki anasokota kikaratasi anakiwasha ndo anaita fegi. Bad boy wa buguruni does drugs, afu wa kibamba ccm anavuta bhange tu.
 
Mhhhhh!!!! BAK aogopwe kwa lipi banaaa hahahahaha acha hizoooo....Naona sasa kweli umepona maana haya mashambulizi yako kwangu yamezidi kipimo 🙂🙂
mi ntajuaje sasa rafiki?
mtoa mada ndo kasema anakuogopa, sijui ndo simba mwenda pole!
 
Back
Top Bottom