Part 2:msimpe ushirikiano demu huyu

Part 2:msimpe ushirikiano demu huyu

Status
Not open for further replies.
Hahaaa akukatae kivip....iyo koment nmeipaste kutoka kwenye uzi ulee.....na aliyepost ni mtvbase
MTV base cha mtoto! ORIGINAL VERSION YA FILE LAKO UMELIONA LAKINIIII? NA MIE NIMOOO HUMOOO! TENA FAILI LINASEMA TUMBOO FYOKO FYOKO (TUSIFAIDISHE UMATI) ILI KUTUCHONGANISHAAA! Sasa mimi nilivolionaa najua Tumboo uko vigorous sanaa, na una guts za ajabuuu BUT I KNOW YOUR STYLE UKIPIKA SUMU KIUKWELI, na zile sumu sio style yako kabisaa, too linient and sentimental! NIKAJUA ILE NI SET UP! Ndo nikaingia kazini kusaka THE INSIDE STORY! Na aliponichosha kusema Zinca kakomfess kwake ni falni ayaaaaaaa! Kaharibu kabisaaaaa! Wakati mimi comfession ya Zinc ninayo kabatini tofauti ndo nikahakikisha ni FOUL PLAY!

FYI na wewe ume confess kwa mtu mzima. Mambo hata hayasemeki! Hahahaaaaa! AND I KNOW YOU HAVE NO IDEA WHATSOEVER! Chezea mtu mzimaa nyie?
 
Out of topic....ukiona mwanaume kakupa mimba halafu kaikataa ujue huna ladhaaaaa.....ungekuwa mtamu angeanza kukung'ang'ania yeye umzalie....!
 
Tuletee na bisi au chichili tujisevie vizuri!

Zkutosha hizi...

popcorn.jpg
 
Kinaendelea nini humu ndani??

Babu haelewi kabisa....

Hajapotea njia kweli??
 
MTV base cha mtoto! ORIGINAL VERSION YA FILE LAKO UMELIONA LAKINIIII? NA MIE NIMOOO HUMOOO! TENA FAILI LINASEMA TUMBOO FYOKO FYOKO (TUSIFAIDISHE UMATI) ILI KUTUCHONGANISHAAA! Sasa mimi nilivolionaa najua Tumboo uko vigorous sanaa, na una guts za ajabuuu BUT I KNOW YOUR STYLE UKIPIKA SUMU KIUKWELI, na zile sumu sio style yako kabisaa, too linient and sentimental! NIKAJUA ILE NI SET UP! Ndo nikaingia kazini kusaka THE INSIDE STORY! Na aliponichosha kusema Zinca kakomfess kwake ni falni ayaaaaaaa! Kaharibu kabisaaaaa! Wakati mimi comfession ya Zinc ninayo kabatini tofauti ndo nikahakikisha ni FOUL PLAY!

FYI na wewe ume confess kwa mtu mzima. Mambo hata hayasemeki! Hahahaaaaa! AND I KNOW YOU HAVE NO IDEA WHATSOEVER! Chezea mtu mzimaa nyie?

Haaaaaaa kumbeee nakushukuru kwakunifungua machoo maana nlikua gizan maaana kuna dada mmoja nalinitumia msg kua uyo zinc kanitaja mm kua ndio mhusika kwenye ule uzi wake.....pia uyo dadaa alieni pm ukifatilia kwenye ule uzi yeye ndio alikua kichocheo mkubwa sikutaka kiki kiukwel coz ck hiyo nlikua bizy na mambo yanguuu japo alinikwaza sanaa
 
What the hell is going on you people?

Mmekosa shughuli za maana za kufanya?
 
.....nimetrace source yooote ndo nikagundua conspiracy ya mtu mzimaaa!

Hili jina litapendeza sana kama ukilifupisha na kuwa MM (Mhusika Mkuu)...kama ilivyokuwa kwa kina Zitto & Co...
 
Out of topic....ukiona mwanaume kakupa mimba halafu kaikataa ujue huna ladhaaaaa.....ungekuwa mtamu angeanza kukung'ang'ania yeye umzalie....!
IN TOPIC Unawaza mimba masaa 24 MTU MWENYEWE ISHATHIBITIKA MGUMBAAA MGUMBAAA HUZAI HATA KWA SADAKA! Kojoa ulale! Mama yako mdogo nina kazi kabla sijakusemea kwa baba yako iwe balaaa!
 
Mbona unapenda kunifata fata lakini...? Nimekutaja hapa au ndo unajistukiaaa?

Hebu kauze mbele hukooo...achana na mimi....
 
Haaaaaaa kumbeee nakushukuru kwakunifungua machoo maana nlikua gizan maaana kuna dada mmoja nalinitumia msg kua uyo zinc kanitaja mm kua ndio mhusika kwenye ule uzi wake.....pia uyo dadaa alieni pm ukifatilia kwenye ule uzi yeye ndio alikua kichocheo mkubwa sikutaka kiki kiukwel coz ck hiyo nlikua bizy na mambo yanguuu japo alinikwaza sanaa
JACKPOTTTTTTTTTTT!!!! Umeonaaaaaaaaaaa! MDADA MWENYEWE MTU MZIMA HOVYOO MM na ndo huyo CATALYST wa hii issue yoteee! Huku anaku pm, huku anawaambia watu umecomfess kwake!

Haya mwanagu MGUMBA kimnanaushuzi utulize kitenesi mama yako mdogo nasolve kesi za msingi hapa!
 
Out of topic....ukiona mwanaume kakupa mimba halafu kaikataa ujue huna ladhaaaaa.....ungekuwa mtamu angeanza kukung'ang'ania yeye umzalie....!

Na wewe embu kafie mbeleee ujui lolote tena usdandie magarii kwa nyumaaa utaburuzwaa bureees nyang'au mkubwaaaa weeee tena nlikua nakutaman ck sana ww na umejiletaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom