TUMBOO
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 3,877
- 2,069
Nmeweka uzi naona wenye viherehere wameufuta mbona tunavopondewa wanawake nyuzi za wanaume hawazifuti........ tuachane na hayoo.........npo hapa nata nijibizane kwa hoja na mhusika wa uzi ambao unahusika na kichwa cha habari ivo naomba mhusika apite pande hizi kwasababu naona anatangaza kua mhusika ni mm sasa tusivunjiane heshima yakuja kuchafuana hapaa......sina mengi ya kujielezea mpaka wahusika wawil nliopata malalamiko yao watakavofika pande hizi......nawashukuru wale walionifungua maskio pm nlikua nakoment kwenye ule uzi bila kujua naezungumziaa ni mm.......wahsika waje na visibitisho la si hivyo wataumbuka hapa