Asnam
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 4,256
- 2,949
Weka maji kwenye beseni tukanyage, tusije sinzia kabla ya picha kuisha!
shoga tena maji ya mabarafu kabisa.
Weka maji kwenye beseni tukanyage, tusije sinzia kabla ya picha kuisha!
Mm Nipo siti ya mbele kabisa na vishata vyangu
Umbea kaziiii
Heheh shaurilo!
Ombi langu kwa mods.....HUU UZI USIFUTWE WALA KUFUNGWA!! Mwacheni mhanga nae atoe yake!
hahahaha utafikiri unasubiria tamthilia ya shades of sin vilee,upo best?
shoga tena maji ya mabarafu kabisa.
Sasa JF imegeuka Insta....teh teh ...mwisho tutapigwa ban na waume zetu tusionekane humu
ngoja niandae ubuyu naona kumekucha.
hahahaha acha movie iendelee
umeleta ubuyu wa zenji best maana ni mtamu balaa.......wacha movie iendelee.
Sielewi chochote.
Kuna nini?
shoga tena maji ya mabarafu kabisa.
Nipo best yangu..
Hii tamthiliya inanihusu lolz
Huwezi elewa kama hujaanzia mwanzo
Huwezi elewa kama hujaanzia mwanzo
Huu wa Pemba best ila nimeutoa kwa wahindi maflati ya upanga...