masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
Karibu tuendelee kubugia hii makitu wakati mkodobwe ukiendelea...
![]()
wooow yummy!! tupate taratibu mpaka mishale ya saa 6 nahisi bado ngoma itakua mbichi sana
Karibu tuendelee kubugia hii makitu wakati mkodobwe ukiendelea...
![]()
aiseeeeeee leo yangu macho
Wewe DINA NDO ULITAJWAAAA! Hahahaaa!
Ombi langu kwa mods.....HUU UZI USIFUTWE WALA KUFUNGWA!! Mwacheni mhanga nae atoe yake!
Mm Nipo siti ya mbele kabisa na vishata vyangu
Umbea kaziiii
Hahahaaaaa! We bi mkubwa una watoto 3!Aaaaa wapiiiiii kwa hiyo na mimi nna mimba au
Hahahahahaaaaaa! AND YOU BELIEVED IT.!!!? Sasa Zinc anikatae na mimba yangu, (nashukuru mnanitabiria mema sitakuwa mgumbaaa!) Afu nimsafishe kwenye thread nina wazimuuuu? Nimuunge mkono asikubali mimba yangu! Mtu mzima hata utunzi ulipata F si bureee
machale yalinicheza nikaona nipige chabo kipande hiki mweh sijajuta kufika eneo la tukio.
Hahahaaaaa! We bi mkubwa una watoto 3!
Sasa JF imegeuka Insta....teh teh ...mwisho tutapigwa ban na waume zetu tusionekane humu
Utamu wa vanila eee utamu..
Waiter naomba bisi na juisi hapa... leo weekend
hhahahahahh WANANDOA WAJITOKEZE TAFADHALI
Nimemkumbatia musukuma wangu