Part 2:msimpe ushirikiano demu huyu

Part 2:msimpe ushirikiano demu huyu

Status
Not open for further replies.
tumboo mi nakwambia LIVE wewe ni victim tu wa picha la mtu mzimaaa alilotunga asionekane MUFILISIIIIII hana supply ya ubuyu wala ukwaju tenaaaa! Sababu ni victim mwenzangu wa sakata hili i can share you a CLASSIFIED FILE la muhusika mmoja halisi ili tu amani irudi moyoni mwako, japo la Diabler utanisamehe sitokupa, na uje umuomba msamaha Zinc sababu nae HE WAS SET UP kama wewe na mimi. Then tuungane kumtokomeza MTU MZIMA OVYOOOOO! Mimi sio mmbe juu juu kidogo nimepita skuli, faili langu lilivonijia nikatulia na kufanya UNSA kama kawaida yangu nimetrace source yooote ndo nikagundua conspiracy ya mtu mzimaaa!
Na hivi namjua tabia yake na jinsi alivogala gala kwenye ule uzi kujifanya bi ubuyu mwenyekiti wa umbea kumbe apeche alolo hana analolijua nilimuita asubuhi aje adhibitishe sumu zake, jeuri hanaaa!

Hahaaaaa kumbe nlikua cjui ilo la mtu mzima tena..... poleeeeeee na umu mijitu mizima ovyoo I ashindwa kujiheshimu .......jaman ctoweza muomba msamaha uyo mhusika ni kwann sasa anichafulie kua ni mm ndio nausika na iyo ya mimba yake kwenye post yakee kwann tuchafuane namna ileee
 
Last edited by a moderator:
sasa wanatusumbua bwana si watajane bwana

zinc njoo pande hii tumalize hii mambo tufanye mambo ingine

Eti jamani, hizi mambo za mafumbo mafumbo why kwanini? Heheh umbea niporomoshee mlima kitonga! Lol
 
Last edited by a moderator:
hahahaa kuna joto maji ya baridi yatakulaza mimi natafuta mbinu nisilale nimerudi sitn room kiukweli nimetoka chumbani

dah muvi ya kwanza ilinipita nikasapu sahizi sitaki sapu nataka A,tuko pamoja.
 
kijanamtanashati embu uje pande hizi dume zima mbeyaaaaaaaaa njooo upate vidongee vyakoooo mwanaume surual wewe
 
Last edited by a moderator:
Eti jamani, hizi mambo za mafumbo mafumbo why kwanini? Heheh umbea niporomoshee mlima kitonga! Lol

best huko pm hujang'atwa sikio,uning'ate na mie niunganishe dots loh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom