Parking at your own risk

ina maana wachaga wana vidoti com? watake radhi mkuu

nimecheka sana jaman loooh
 
JF uwanja wa fujo, nikitoka kwenye mihangaiko ya kutafuta mkate huwa sipendi kuimisi maana ni free zone stress. Umenena vyema waelimishe bure dada zetu maana sisi wanaume hatutabiriki mkizifanya zote zikawa tamu kesho tunahitaji zenye uchachu...mnaanza kutafuta vidonge vya kuzichachua ...hatimaye magonjwa yasiyo tibika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana sijategemea nitaulizwa hivyo
Ya msukuma au ya dudu!?..
 
Kwenye nyuzi zenu hapa JF siku hizi mnatuandama sana wachaga. Juzi imeibiwa gari watu wakasema ni sisi bila kuwa na ushahidi.

Leo eti wachaga kidot com. Kwani hao akina lembebez ni wachaga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana sijategemea nitaulizwa hivyo
[emoji2][emoji2] nitakutumia ya dudu basi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…