kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,163
- 2,223
Naona umeamua kunipa waisfu wa mtu mwingine Mkuu.Wazo zuri ndugu nash
Huyu kijana anatuangusha kwenye siasa
Huyu Macron ana kiburi sana na kiburi chake kisingemponza laiti angekuwa anaongoza Afrika siyo nchi kama Ufaransa. Kama atabahatika kusalimika basi hatorudi kama Hollande