Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,641
Kwa huu moto Emmanuel macron sijui kama atabaki
Nchi ya Ufaransa imesimama watu kutoka mashambani wanakusanyika mjini Paris kishinikiza macron aondoke madarakani
Kampuni za usafirishaji hasa mabasi zimeshusha nauli kwa 50% ili kuwawezesha wananchi wanaotaka kwenda Paris kuungana na waandamanaji wengine
Usafiri wa tren pia kuna discount kwa wanaosafiri kwenda paris kwa ajili ya maandamano makubwa yaliyopangiwa kufanyika aidha vyombo mbali mbali vya habari vinaripoti macron anajiandaa kung'oka kwa hiari.
Chanzo kikubwa cha maandamano ni kupanda kwa gharama za maisha hasa nishati ya petrol
Pia makampuni kadhaa ya ndege yanashusha nauli kwa wanaokwenda paris kuandamana
Tukumbuke macron alikuwa tumaini kubwa sana kwa umma wa ufaransa kabla ya kuingia ikulu kutokana na sera zake ila sasa mambo yabadilika
My concern...Putin anataka kuisambaratisha ulaya? Kuna vitu vingi nyuma ya pazia tuendelee kusubiri na kuona
Hii inanikumbusha french rovulations iliyopelekea ufaransa kuendelea sana