Paris inawaka moto...

Acheni hizo hapa hakuna cha mkono wa Trump wala wa Putin. Wafaransa wenyewe wameamua kudai haki zao. Chanzo ni kwamba Macron alifuta kodi inatwa ISF. L'import sur fortune. Hii kodi walikuwa wanalipa matajiri na ilikuwa inaiingizia nchi almost 5b euros.Sasa alipoifuta ili kufidishia kaongeza kodi ya gasoline na kodi kibao kwa classe moyenne. Yaani watu wa maisha ya kati. Maandamano yalianza ili kupinga ongezeko la kodi kwa mafuta na kupanda hali ya kuwa maisha magumu. Gilet jaune "Yellow vest ndo vazi maalumu la waandamanaji. Hata hivyo Maandamano yamejibu maana hiyo kodi imefutwa. Na wiki ijayo Rais ataongea na Taifa. Sasa hotuba ya Rais ndo itatoa majibu kama Gilet jaune wataendelea kuandamana ama la.
Mm naamini wazungu ni watu wenye akili sana/ Marekani/Russia naamini wanatumia akili nyingi sana wanapo taka kufanya mission zao... Kama Russia au Marekani wanaweza kuwa wapo nyuma ya haya maandamano ya kumtoa Macro madarakani waha jamaa wanatumia njia ambazo hawataacha ushahidi kuepuka kulaumiwa na jumuiya za kimataifa,

Unaweza ukajiuliza nani aliyemshauri Macro aziondoe hizo kodi, wanajua wakifanya njia gani ndiyo itakuwa njia rahisi ya kumtoa ni kupandikiza vitu vitakavyo igusa jamii ya wengi
 
Ulaya yenye vurugu haimfai Russia...Russia nataka Ulaya yenye utulivu. Sababu muhimu ni ya kiuchumi/kibiashara. Russia anawauzia Ulaya nishati/gasi karibu asilimia 30% ya matumizi yote ya Ulaya.

Sasa Russia atakuwa kichaa kweli aamue kuvuruga sehemu anakopatia pesa za kukuza uchumi / yaani avuruge soko la gasi yake. Ndiyo maana Ukraine alipoweka usiku kwenye kupitisha gesi ya Russia kwenda Ulaya...Russia alifanya juu chini kwa kuratibu njia mbadala ya kupitisha gesi yake. Na ameingia Ubia na makampuni ya Ujerumani na nchi nyingine katika lile bomba la kaskazini la gesi. Hivyo, hoja yako ya Russia kuivuruga Ulaya inakosa mashiko, sana sana inaboresha wasiwasi wangu kwako kuwa kwa makusudi unaficha ukweli wa nani hasa anataka kuivuruga Ulaya.

Kuna maswali nimekuuliza haujayajibu. Pentagoni ama Washington walisemaje juu ya kauli ya Macron kuwa na Ulaya iwe na jeshi lake la ulinzi?
You have got a clue.
Thumb up..
 
Nyau wa bar wewe! Ni mafuvu mangapi kila leo yanaokotwa na kusemekana yaliishi mamilioni ya miaka iliyopita!

Baada la Olduvai kuna fuvu lingine limeokotwa lenye umri sawa na hilo hayo maeneo? Na kama hakuna fuvu lingine huyo mmeo aliishi Olduvai mwenyewe Acha kukaririshwa shoga la nyau!
Oldest human fossil ilipatikana wapi mburula wewe. Unapajua olduvai gorge au unapasikia.
Brain washed nincompoop.
 
Nyau wa bar wewe! Ni mafuvu mangapi kila leo yanaokotwa na kusemekana yaliishi mamilioni ya miaka iliyopita!

Baada la Olduvai kuna fuvu lingine limeokotwa lenye umri sawa na hilo hayo maeneo? Na kama hakuna fuvu lingine huyo mmeo aliishi Olduvai mwenyewe Acha kukaririshwa shoga la nyau!
Mburula wa hovyo, kasome history au nenda kwa hao waume zako wa kizungu, hamisha na wenzako wote mkachezewe vinyeo vyenu maana mna mahaba ya dhati kwao.
Unaelewa maana ya the oldest human fossil? Inamaana hiyo mifupa yote iliyookotwa inayookotwa ya binadamu, hakuna inayomzidi miaka ya aliyeokotwa olduvai gorge r chuga hapo.
 
Mburula wa hovyo, kasome history au nenda kwa hao waume zako wa kizungu, hamisha na wenzako wote mkachezewe vinyeo vyenu maana mna mahaba ya dhati kwao.
Unaelewa maana ya the oldest human fossil? Inamaana hiyo mifupa yote iliyookotwa inayookotwa ya binadamu, hakuna inayomzidi miaka ya aliyeokotwa olduvai gorge r chuga hapo.
Nyau wa bar! Hiyo historia ya Olduvai si imeandikwa na huyo mzungu ambaye leo unaona ni mjinga!

Kilimanjaro ulikuwa hapo miaka nenda rudi kama mngekuwa na akili za kujijua si ungeugundua, historia zote unazosoma zimeandikwa na wao wazungu kwahiyo usijifanye kichaa kwa kuwapinga ile hali unatumia historia zao kuhadaa watu.

Bila na wao kukudanganya kuwa binadamu wa kwanza aliishi Tanzania ungejua lolote?

Akili yako ina vimelea vya kisonono huwezi kujitambua.
 
Mzungu ni mzungu tu. Hawa watu ni toleo la kwanza kabisa hatuwezi kushindana nao.

Hivi ingekuwa hayo yanafanyika Uganda tungekuwa na marehemu wangapi hadi sasa? Acheni wazungu waitwe wazungu.
Wao walishamaliza hii stage tuliyonayo enzi za Napoleon ambaye aliwasumbua sana Europe karibu yote kwa vita.

Jamaa alikuwa mtu mfupi sana alileta maneno maneno mengi mengi
 
Kwa huu moto Emmanuel macron sijui kama atabaki

Nchi ya Ufaransa imesimama watu kutoka mashambani wanakusanyika mjini Paris kishinikiza macron aondoke madarakani

Kampuni za usafirishaji hasa mabasi zimeshusha nauli kwa 50% ili kuwawezesha wananchi wanaotaka kwenda Paris kuungana na waandamanaji wengine
Usafiri wa tren pia kuna discount kwa wanaosafiri kwenda paris kwa ajili ya maandamano makubwa yaliyopangiwa kufanyika aidha vyombo mbali mbali vya habari vinaripoti macron anajiandaa kung'oka kwa hiari.

Chanzo kikubwa cha maandamano ni kupanda kwa gharama za maisha hasa nishati ya petrol
Pia makampuni kadhaa ya ndege yanashusha nauli kwa wanaokwenda paris kuandamana

Tukumbuke macron alikuwa tumaini kubwa sana kwa umma wa ufaransa kabla ya kuingia ikulu kutokana na sera zake ila sasa mambo yabadilika



My concern...Putin anataka kuisambaratisha ulaya? Kuna vitu vingi nyuma ya pazia tuendelee kusubiri na kuona

Hii inanikumbusha french rovulations iliyopelekea ufaransa kuendelea sanaView attachment 960355
Tanzania magufuli anaogopwa ukiandamana unauawa,
 
Back
Top Bottom