Paris inawaka moto...

Mzungu ni mzungu tu. Hawa watu ni toleo la kwanza kabisa hatuwezi kushindana nao.

Hivi ingekuwa hayo yanafanyika Uganda tungekuwa na marehemu wangapi hadi sasa? Acheni wazungu waitwe wazungu.
wewe ni viatu vya samaki kweli, unatolea mfano nyumba ya jirani ilhali kwenu ni zaidi?
 
Siasa za ulaya zinabadilika sana kutoka kwenye utulivu kwenda kwenye siasa za vurugu kutokana na mkwamo wa kiuchumi
Naona umeamua kunipa waisfu wa mtu mwingine Mkuu.
Huyu Macron ana kiburi sana na kiburi chake kisingemponza laiti angekuwa anaongoza Afrika siyo nchi kama Ufaransa. Kama atabahatika kusalimika basi hatorudi kama Hollande
 
Vipi tanzania hatuwezi amua kuandama kuelekea magogoni kumtoa mkulu...
Unasemaje
tapatalk_1544357341419.jpeg
 
Africa sijui lini tutafikia kua na UMOJA huo. Burundi hali mbaya, Kenya kashfa za rushwa kila kukicha, Tanzania tunamuachia Zitto aongee. Nigeria tia maji tia maji, mungu saidia. Uganda nchi Rais Yoweri Museven ana HATI MILIKI kabisa. Somalia labda Yesu mtoto wa Maryam ashuke.

Tumekaa kinafiki kinafiki tu ndo maana hatuendelei.
Afrika Ni Kigenge Cha Unafiki, Majungu Na Fitina!
 
Naijua hali halisi, hakuna cha Putin wala nini, Ninaishi France, nafanya kazi France, najua ninachokisema.
Hii kitu ilikuwa ishaonekana toka mwezi wa tatu kuwa mambo si shwari kabisa. Na huyu Macron ana majibu kama ya jiwe mfano jibu alilompa yule mama kuwa gas na electric bills zake hazitumiwi na serikali na yale majibu aliyowapa wale waandamanaji eti tshirt zao hazimtishi kama wanataka kuvaa suti kama yake wafanye kazi.
Achilia mbali majibu yake juu ya yule mlinzi wake aliyeonekana anampiga mwandamanaji huku akiwa amevaa helmet na nguo za polisi wakati ni kinyume cha sheria.
Serikali yake ina wa favour sana matajiri huku mzigo mkubwa wakibebeshwa watu wa chini ilikuwa ni lazima haya yatokee wala hakuna cha Russia or USA
 
Yule anaendeshwa na mkewe, mkewe ni Myahudi hivyo marafiki za mkewe wayahudi matajiri ndo walitoa hela kwa ajili ya kampein, ndo maana kafuta kodi iliyokuwa inakatwa kwa matajiri wakubwa, Kagonga mwamba maana nguvu ya Umma daima hushinda.
 
Chezea jimama wewe linampa mahabati kijana mama ni mwalimu wa Macron kuanzia darasani mpaka kitandani.
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom