Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,885
- 8,955
Bongo tuna msemo wetu wa Ukicheka na Kima utavuna mabua mdo maana watawala hawacheki na kima sisi.... wanatubutua tuu
ndiyo tabu ya kumpa kijana madarakaKwa huu moto Emmanuel macron sijui kama atabaki
Nchi ya Ufaransa imesimama watu kutoka mashambani wanakusanyika mjini Paris kishinikiza macron aondoke madarakani
Kampuni za usafirishaji hasa mabasi zimeshusha nauli kwa 50% ili kuwawezesha wananchi wanaotaka kwenda Paris kuungana na waandamanaji wengine
Usafiri wa tren pia kuna discount kwa wanaosafiri kwenda paris kwa ajili ya maandamano makubwa yaliyopangiwa kufanyika aidha vyombo mbali mbali vya habari vinaripoti macron anajiandaa kung'oka kwa hiari.
Chanzo kikubwa cha maandamano ni kupanda kwa gharama za maisha hasa nishati ya petrol
Pia makampuni kadhaa ya ndege yanashusha nauli kwa wanaokwenda paris kuandamana
Tukumbuke macron alikuwa tumaini kubwa sana kwa umma wa ufaransa kabla ya kuingia ikulu kutokana na sera zake ila sasa mambo yabadilika
My concern...Putin anataka kuisambaratisha ulaya? Kuna vitu vingi nyuma ya pazia tuendelee kusubiri na kuona
Hii inanikumbusha french rovulations iliyopelekea ufaransa kuendelea sanaView attachment 960355
wapi hiyo mkuuNilibaki kinywa wazi pale muandamanaji alipo mpa glasi ya wine askali wote wakagonga tano nikatafakari ingekuwa bongo ???
Louis XVI ndio alikua Mfalme wa mwisho ufaransa, 1774-92, alitokea katika ukoo wa Bourbon Monarchs na baada ya kuhukumiwa kifo huyu mfalme ndio Ufaransa wakafanya mapinduzi mnamo mwaka 1789. Aliuliwa kwakukutwa na hatia ya UHAINI. Aliemuua alikua anaitwa Guillotine mnamo mwaka 1793.
Huyu mfalme anajulikana sana kwa kilichomkuta. Ila historia ya China Qin Dynasty inautata kama ya Alexander The Great (Kila mtu anavutia kwa upande wake).
Cha kutafakari, Ufaransa WALIMKATA KICHWA mfalme ambae alikutwa na hatia ya UHAINI. Si jambo jepesi hili.
Uko sawa mkuu,
Wahuni wa ccm/viongozi wa Africa walifanikiwa kutengeneza genge kubwa sana la wasomi wapumbavu, ndiyo maana tunakufa na tai shingoni, unatengemea msomi kama Prof Kabudi unatengemea uwe kama mzungu?
Bongo tuna msemo wetu wa Ukicheka na Kima utavuna mabua mdo maana watawala hawacheki na kima sisi.... wanatubutua tuu
ndiyo tabu ya kumpa kijana madaraka
yaani mtu 45+ anakuwa rais wa Nchi.
bata ale saa ngapi.na michepuko aipitie mda Gani...
bado screenshots na post za insta chill with D.trump at white House.....hahahahahaa daah vijana hawafai aseeh
Marekan washenzi sana
Kisa macron ..anaitaka Ulaya ijiundie jeshi lake.
Ijitegemee ktk mambo yake
Basi wanataka kumuondoa jamaa
Wao pia walipita barabara hii hii tena worse!Africa sijui lini tutafikia kua na UMOJA huo. Burundi hali mbaya, Kenya kashfa za rushwa kila kukicha, Tanzania tunamuachia Zitto aongee. Nigeria tia maji tia maji, mungu saidia. Uganda nchi Rais Yoweri Museven ana HATI MILIKI kabisa. Somalia labda Yesu mtoto wa Maryam ashuke.
Tumekaa kinafiki kinafiki tu ndo maana hatuendelei.
Tafuta iyo article usomeKwahiyo Putin kawapandikiza na kuwashawishi wananchi wa ufaransa waandamane sio
Read this article but inanigomea aploadNaona unataka kuficha Mleta vurugu wa ukweli kwenye kichaka cha Russia!
===
Swali: Unakumbuka Macron alivyosema EU itengeneze jeshi lake iache kutegemea US, je. rais Putin alisemaje ?
Jibu: Tena kwa ushahidi-
In an interview with RT France during his visit to Paris, Russian President Vladimir Putin said that French President Emmanuel Macron's idea of forming unified European armed forces reflects a “generally positive process”. “As for the alternative all-European armed forces, this is not a new idea. President Macron has reanimated it but one of the ex-presidents of France, Jacques Chirac, also told me about it. These ideas existed even before him,” Putin said.
“Europe is a powerful economic entity, a powerful economic union, so it is quite natural for member countries to want to be independent and sovereign in defense and security," he said.Putin noted that, in general, it is a “positive process from the point of view of the multi-polar world.”On Tuesday, French President Emmanuel Macron called for the creation of a "real European army" to protect Europe from Russia and even the United States.
===
Putin says France’s plan for EU Army is ‘natural’ | Free West Media
UAWire - Putin supports Macron's idea of forming a European army
Natural that Europe should want an army, says Russia's Putin | Reuters
----
Sasa swali kwako: Je. Pentagon ama Whashington alizungumzia nini juu ya kauli ya Macron?
Kwa kifupi hii inaweza kuwa mkakati wa yule amwitaye mshirika kumuuangamiza. Usiisingizie Russia na Putini wao.
Acha watoane macho walahi
nafikiri hata ww usinge comment hapa maana ungekuwa ushavunjwa vunjwa mikono😂😂😂 africa bhana ni bara la hovyo kabisa viongoz waroho wababe wazee,washenzi,wauwaji na hawashauriki hata kama anajiona anakosea hatak kukubar ili tu awakomoe wapinzan wake,,mbaya zaidi ukipaza saut unatekwaMzungu ni mzungu tu. Hawa watu ni toleo la kwanza kabisa hatuwezi kushindana nao.
Hivi ingekuwa hayo yanafanyika Uganda tungekuwa na marehemu wangapi hadi sasa? Acheni wazungu waitwe wazungu.
I second you,Mzungu ni mzungu tu. Hawa watu ni toleo la kwanza kabisa hatuwezi kushindana nao.
Hivi ingekuwa hayo yanafanyika Uganda tungekuwa na marehemu wangapi hadi sasa? Acheni wazungu waitwe wazungu.
Wafaransa,hawachezi na haki zao.Hakuna binadamu wa kuwafikia dunia nzima. They don't give a ****, they fight for their fucken rights.
Acheni hizo hapa hakuna cha mkono wa Trump wala wa Putin. Wafaransa wenyewe wameamua kudai haki zao. Chanzo ni kwamba Macron alifuta kodi inatwa ISF. L'import sur fortune. Hii kodi walikuwa wanalipa matajiri na ilikuwa inaiingizia nchi almost 5b euros.Sasa alipoifuta ili kufidishia kaongeza kodi ya gasoline na kodi kibao kwa classe moyenne. Yaani watu wa maisha ya kati. Maandamano yalianza ili kupinga ongezeko la kodi kwa mafuta na kupanda hali ya kuwa maisha magumu. Gilet jaune "Yellow vest ndo vazi maalumu la waandamanaji. Hata hivyo Maandamano yamejibu maana hiyo kodi imefutwa. Na wiki ijayo Rais ataongea na Taifa. Sasa hotuba ya Rais ndo itatoa majibu kama Gilet jaune wataendelea kuandamana ama la.