Paris inawaka moto...

Tena bodaboda sometimes hadi wajaziwe mafuta

Kwa hao wanaojitambua..hapo kuna Madaktari, maprofesa na watu kutoka kada na hali mbalimbali wanajumuika pamoja kuandamana na kutetea haki kwa Maslahi ya wote. Hapa kwetu jambo hilo ni ndoto. Tunategemea Bodaboda waandamane tupate mabadiliko!
 
Acheni hizo hapa hakuna cha mkono wa Trump wala wa Putin. Wafaransa wenyewe wameamua kudai haki zao. Chanzo ni kwamba Macron alifuta kodi inatwa ISF. L'import sur fortune. Hii kodi walikuwa wanalipa matajiri na ilikuwa inaiingizia nchi almost 5b euros.Sasa alipoifuta ili kufidishia kaongeza kodi ya gasoline na kodi kibao kwa classe moyenne. Yaani watu wa maisha ya kati. Maandamano yalianza ili kupinga ongezeko la kodi kwa mafuta na kupanda hali ya kuwa maisha magumu. Gilet jaune "Yellow vest ndo vazi maalumu la waandamanaji. Hata hivyo Maandamano yamejibu maana hiyo kodi imefutwa. Na wiki ijayo Rais ataongea na Taifa. Sasa hotuba ya Rais ndo itatoa majibu kama Gilet jaune wataendelea kuandamana ama la.
Tafuta hii usome
IMG_20181209_091101.JPG
 
Marekani wanaingiaje apa mkuu
Mkuu mbn ipo wazi,...Rais Macron anaitaka Ulaya isiwe tegemezi kwa marekan kiulinzi ,kisiasa na kimkakati.

Matokeo yake yakutaka kuanzisha jeshi moja la Ulaya, kiuhalisa itapelekea kupungua kwa ushawishi wa marekan kijeshi baran ulaya.

Marekan anavituo vingi vya kijeshi,, marekan anawauzia sana ulaya Silaha.

Haya yote kwa ujumla wake,,CIA wakaona itawaharibia ,ndo sasa wameanzisha chokochoko izi.
 
Mzungu ni mzungu tu. Hawa watu ni toleo la kwanza kabisa hatuwezi kushindana nao.

Hivi ingekuwa hayo yanafanyika Uganda tungekuwa na marehemu wangapi hadi sasa? Acheni wazungu waitwe wazungu.

Kwa mawazo yako unadhani hakuna watu waliokufa huko Ufaransa katika vurugu hizi??? Unavifahamu vizuri vyombo vya habari vya magharib?? Unadhani vurugu kama hizi zingetokea nchi nyingine isiyo ya magharibi wangeyata jina gani kama siyo mapinduzi??
 
Wenzetu wanafundishwa fundamental rights toka ngazi ya chini, kila raia anatambua haki na wajibu

Ndio maana hata kwenye mahusiano wenzetu ni wakweli kutokana na misingi wanayokulia

Sasa nchi zetu za kiafrika utakuta hata polisi hajui majukumu yake

Afrika bado tunasafari ndefu sana

Kwa hiyo mzungu anajua haki zake kuchoma maduka, magari na kadhalika???!!!
 
Kwa huu moto Emmanuel macron sijui kama atabaki

Nchi ya Ufaransa imesimama watu kutoka mashambani wanakusanyika mjini Paris kishinikiza macron aondoke madarakani

Kampuni za usafirishaji hasa mabasi zimeshusha nauli kwa 50% ili kuwawezesha wananchi wanaotaka kwenda Paris kuungana na waandamanaji wengine
Usafiri wa tren pia kuna discount kwa wanaosafiri kwenda paris kwa ajili ya maandamano makubwa yaliyopangiwa kufanyika aidha vyombo mbali mbali vya habari vinaripoti macron anajiandaa kung'oka kwa hiari.

Chanzo kikubwa cha maandamano ni kupanda kwa gharama za maisha hasa nishati ya petrol
Pia makampuni kadhaa ya ndege yanashusha nauli kwa wanaokwenda paris kuandamana

Tukumbuke macron alikuwa tumaini kubwa sana kwa umma wa ufaransa kabla ya kuingia ikulu kutokana na sera zake ila sasa mambo yabadilika



My concern...Putin anataka kuisambaratisha ulaya? Kuna vitu vingi nyuma ya pazia tuendelee kusubiri na kuona

Hii inanikumbusha french rovulations iliyopelekea ufaransa kuendelea sanaView attachment 960355
Angalia wenzetu wanavyopambana kimkakati!!! Hongereni wazungu
 
Pigo sana kwa vijana ulimwengu mzima sijui tutaongea nini
Huo ndio uhalisia mkuu vijana tunaweza sana kucritisize ila tunapopewa nafasi wachache huonesha ufanisi
Hata Obama alipo kuwa anagombea alikuwa anaongea sana ila miaka nane hakuna cha maana alichofanya white house zaidi ya kupiga domo tu amekuja mzee trump anapiga kazi masaa 24
 
Back
Top Bottom